Simba wathibitisha kupeleka timu uwanjani

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,444
Reaction score
28,769
Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo ya Msimbazi.

Katika mchezo huo, Simba itakuwa mgeni wa Yanga Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5:00 jioni.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ uliona wapi demu mwenye nyega akaibana chupi dk zote??, tutawapa haki yenu. Na tuna hasira za kutusunbua trh 8 yaani itapigwa mpaka ichakae๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ