Kubeba makombe yote ya ndani tumeanza na mapinduzi cup
Pia lengo letu ni kufika nusu fainali champions league
Kama wewe bado hujapata bwana,Mimi nipo hapa.Mtoa post tafuta bwana akusugue utulie
Aliyewapiga ndani,(nyuma)na nje (mbele)Rivers United.
Umemsahihisha vizuri. Yeye alitaka kuwafichia ukweli .Aliyewapiga ndani,(nyuma)na nje (mbele)
Umesahau na "The return of champions" ya misukuleWalianza hivi
Malengo yetu msimu huu ni
Kubeba makombe yote ya ndani tumeanza na mapinduzi cup
Pia lengo letu ni kufika nusu fainali champions league
Kisha wakaendelea
Yanga wao kazi yao kuongoza ligi sisi tunachukua ubingwa
MATOKEO YAKE!!!!!
Champions league hakuna cha nusu fainali wala nusu kijiko
Kwenye ligi nako wameshapotea [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanacheza kombe la walioshindwa linaitwa shirikisho
Hivi sasa
Wamebaki VAR VAR VAR VAR VAR VAR VAR. Utafikiri VAR nalo ni kombe
juma nassoro Dovutwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpe hata shemeji yako akubandue badala ya dada yako.Kama wewe bado hujapata bwana,Mimi nipo hapa.
Haya sio mashindano ya Nchi ni vilabu mbona unapotosha!! Umeona bendera ya Nchi yoyote kwenye hizo mechi??.Kati ya nchi zooooote Africa,ni nchi 5 tu ikiwemo Tz zipo kwenye mashindano. Halafu kuna mazuzu yanabong'oa kukejeli