Mkuu Yahoo Simba na Clouds wamekukosea nini? Maana wewe mabandiko yako karibia yote ama ni kuwaponda Simba na Clouds ama kuwakejeli, tatizo lako na wao ni nini? najua wewe ni mshabiki wa Yanga hiyo inaweza kuwa ni kwa sababu unaikandia Simba, kwa Clouds inakuwaje kila siku hukosi kuwakandia?