Na wewe umeamini Ili kua ni kwel inafikilisha sana kama wewe ni mtu mzima unafamiliaJwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga..
Yanga wanaondoka kwenda Egypt hosteli zao wanawachia wakina Baruti
Mbaya Zaidi video analyst wa Yanga wakamuacha Kambini ili asaidiane na Benchi la Ufundi la Jwanang Galaxy kuisoma Simba,huku wakitoa siri nyingi za Simba..
Yaani wanaenda kucheza Mechi kubwa dhidi ya Al Ahly Lakini waliamua ku lisk wakamuacha mtu muhimu sana wakumsoma mpinzani wao Al Walikuwa tayari kupoteza dhidi ya Al Ahly ili wahakikishe Simba anatolewa inje ya mashindano
Yanga tokeni hadharani semeni Simba Waliwakosea nini,maana mmeanza mda mrefu kuwa Sapoti wageni.
Mbona yanazungumzika tu ,Kumbukeni Barabara mnayopita imechongwa na Simba miaka mitano mfululizo simba wanafanya vyema kwenye mashindano haya
Daaah Ing'asi yemkola nyenye ikondite kwasababu ya Inyarupala yeyakolige kila siku
Kuna nini nyuma ya pazia?
Au Ndiyo ule msemo wa Wahenga wanasema mchawi hataki kuona mtoto wa jirani anafanikiwa?
Viongozi wa Club wanahusika direct kuhakikisha Simba anapoteza mchezo Muhimu.
Mungu Kibidu amebidua jana🤝🙏
Maskini hajajua umequote hivyo kwa sababu gani.Eti ufungue mada kuhusu uchawi!!!Unadhan mchawi anapata nn anapokuwangia???
Huu ujinga ndio huwa unanifanya niamini hata haya yanayosemwa yanaweza kuwa na ukweliKiongozi gani wa Serikali amekanusha?Na kuvaa jezi za Berkane na kuchat na wachezaji pia ilikanushwa?
Hayo ya Hersi kuvaa jezi za Kaizer Chiefs wakingojea mechi na Simba pia ilikanushwa?
Kuwapokea Asec ilikanushwa?
Hiyo ni hulka ya uhasidi haiwezi badilika.
Sasa ukiamini inatupunguzia niniHuu ujinga ndio huwa unanifanya niamini hata haya yanayosemwa yanaweza kuwa na ukweli
Watu hamna akili mkutano mkuu mna ambiwa group la WhatsApp ni mafanikio mnashangilia sasa hivi mmejazwa Jwaneng walikua Avic mmejaaMaskini hajajua umequote hivyo kwa sababu gani.Eti ufungue mada kuhusu uchawi!!!
Swadakta mkuuYote ni mipango ya Mungu kuufarakanisha utawala wa shetani. Hivi sasa tunavyoongea Jwaneng Galaxy wanaitazama Yanga kwa jicho la tahadhari, maana wamelishwa sumu (kwa madai yao) wakiwa katika mazingira waliyoyaamini kwamba ni mikono salama
Chuki Mbaya sanaKuna mambo mmefanya hio mechi sasa hivi mnatafuta visingizio kuficha ukweli sijawahi kuona timu imeshinda ushindi mkubwa bado inatoa visingizio
Sema engineer kuvaa jezi ya kaizer Kuna kaushamba alikaonyesha paleKiongozi gani wa Serikali amekanusha?Na kuvaa jezi za Berkane na kuchat na wachezaji pia ilikanushwa?
Hayo ya Hersi kuvaa jezi za Kaizer Chiefs wakingojea mechi na Simba pia ilikanushwa?
Kuwapokea Asec ilikanushwa?
Hiyo ni hulka ya uhasidi haiwezi badilika.
SaSawNawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
Nawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
Sababu ya wivu kwa MnnyamaTatizo ni kwamba hamna akili Yanga walikua wana pata faida gani kwenye hio mechi kiasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng return yao ilikua ni ipi?
Bora kuna wawili huko wenye akili. Hivi Rage aliondoa watu pale aliposema mashabiki wa upande huo ni mbumbumbu?Mkuu wenye akili ni wawili Yanga, Sunday Manara na Kikwete, hao wengine unaowaona ni wanatumia dozi.
Alitakiwa avae jezi ipiSema engineer kuvaa jezi ya kaizer Kuna kaushamba alikaonyesha pale