msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 777
- 656
Yote ni mipango ya Mungu kuufarakanisha utawala wa shetani. Hivi sasa tunavyoongea Jwaneng Galaxy wanaitazama Yanga kwa jicho la tahadhari, maana wamelishwa sumu (kwa madai yao) wakiwa katika mazingira waliyoyaamini kwamba ni mikono salamaJwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga..
Yanga tokeni hadharani semeni Simba Waliwakosea nini,maana mmeanza mda mrefu kuwa Sapoti wageni.
Mbongo huwa anaamini anachotaka kuamini kinachomfurahisha. Huu uzushi unawafurahisha sana hivyi hata ungewaletea ushahidi wa video wangesema ni fakeNawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
Kiongozi gani wa Serikali amekanusha?Na kuvaa jezi za Berkane na kuchat na wachezaji pia ilikanushwa?Nawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
ashukuliwe yanga kwa kumhujumu jwaneng ili simba ishindeYote ni mipango ya Mungu kuufarakanisha utawala wa shetani. Hivi sasa tunavyoongea Jwaneng Galaxy wanaitazama Yanga kwa jicho la tahadhari, maana wamelishwa sumu (kwa madai yao) wakiwa katika mazingira waliyoyaamini kwamba ni mikono salama
Uto wawe makini maana kambini kwao kuna mpishi kibaraka hatare 😁ashukuliwe yanga kwa kumhujumu jwaneng ili simba ishinde
Tatizo ni kwamba hamna akili Yanga walikua wana pata faida gani kwenye hio mechi kiasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng return yao ilikua ni ipi?Mi huwa nashangaa sana.... Simba na Yanga ni watani.. lkn mwenzetu UTO hutumia mbinu hatari sana za kiharamia kuihujumu Simba...
Kuna mambo mmefanya hio mechi sasa hivi mnatafuta visingizio kuficha ukweli sijawahi kuona timu imeshinda ushindi mkubwa bado inatoa visingizioJwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga..
Yanga wanaondoka kwenda Egypt hosteli zao wanawachia wakina Baruti
Mbaya Zaidi video analyst wa Yanga wakamuacha Kambini ili asaidiane na Benchi la Ufundi la Jwanang Galaxy kuisoma Simba,huku wakitoa siri nyingi za Simba..
Yaani wanaenda kucheza Mechi kubwa dhidi ya Al Ahly Lakini waliamua ku lisk wakamuacha mtu muhimu sana wakumsoma mpinzani wao Al Walikuwa tayari kupoteza dhidi ya Al Ahly ili wahakikishe Simba anatolewa inje ya mashindano
Yanga tokeni hadharani semeni Simba Waliwakosea nini,maana mmeanza mda mrefu kuwa Sapoti wageni.
Mbona yanazungumzika tu ,Kumbukeni Barabara mnayopita imechongwa na Simba miaka mitano mfululizo simba wanafanya vyema kwenye mashindano haya
Daaah Ing'asi yemkola nyenye ikondite kwasababu ya Inyarupala yeyakolige kila siku
Kuna nini nyuma ya pazia?
Au Ndiyo ule msemo wa Wahenga wanasema mchawi hataki kuona mtoto wa jirani anafanikiwa?
Viongozi wa Club wanahusika direct kuhakikisha Simba anapoteza mchezo Muhimu.
Mungu Kibidu amebidua jana[emoji1666][emoji120]
uto kama israel wana vibaraka kila sekta pale kolouizdad fc,hawawezekani wale watuUto wawe makini maana kambini kwao kuna mpishi kibaraka hatare 😁
Unadhan mchawi anapata nn anapokuwangia???Tatizo ni kwamba hamna akili Yanga walikua wana pata faida gani kwenye hio mechi kiasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng return yao ilikua ni ipi?
Fungua thread kuhusu uchawi mbumbumbu hua mna shida ya uelewaUnadhan mchawi anapata nn anapokuwangia???
UnakatwaNi kama vile ushindi wenu dhidi ya Jwaneng una utata maana lawama haiziishi
Hilo ndio la msingiNgoja hio Aprill ifike tuwatwange tena Tano ,mzidi kuongea maana mko insecure hadi mnatia Aibu
Endelea kukatwaninakatwa