Simba wakumbushwe kuhusu haya. Wanachekelea kana kwamba Yanga na Simba wanashiriki mashindano ya aina Moja.Bingwa wa Champions league anaongezewa nyota kwenye logo yake. Ila bingwa wa confederation hapati hiyo fursa.
Bingwa wa champions league anaqualify kushiriki Fifa Club world cup. Ila bingwa wa shirikisho hapati hiyo fursa.
Sijawai kuona mamelodi anashiriki confederation cup.
Ama mwamba Al ahly huwezi mkuta shirikisho anashiriki
Inaonekana kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya CAF ya aina Moja yenye ukubwa na hadhi Moja CAF. Tambo na furaha ya Simba ni kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya aina Moja .Tuwakumnushe Simba kuwa wao wanashiriki kashindano ka CAF kanakoitwa shirikisho (CAF confederation), kashindano ka hovyo kanakohusisha timu hafifu kwenye ligi zao. Yanga inashiriki club bingwe (CAF champions), timu ngumu na mabingwa kwenye ligi zao.
Hivyo mashabiki na wadau wa mpira wakiwemo wanahabari na wachambuzi muujulishe umma kuhusu tofauti hizi za mashindano. Hakuna comparison kati ya shinda na kushindwa CAF confederation na CAF championship; ni kofo na usingizi. Yanga ilicheza final za CAF confederation juzijuzi TU lakini hakuna timu ya Tanzania iliyowajlhi kugusa hata nusu final za CAF championship; ni magumu sana.
Kila mara humu jukwaani huwa nafurahi kuona kolo mpya ambae sijawahi kumfahamu kabla ila maneno yao daima ni kurwa na doto na ukijibizana nae atatukana hadi mizimu ya kwenu na hapo nasema hakika huyu ni kolo OG.Huko caf championship nyie vyura mna point ngapi au mme enda kuli haibisha taifa.
Kila mmoja achungulie point alizo nazo kwenye mashindano yakeInaonekana kama vile Simba na Yanga wanashiriki mashindano ya CAF ya aina Moja yenye ukubwa na hadhi Moja CAF.
Usilinganishe championship na confederation kaka. Ndio maana Azam alinusa TU na kutupwa nje kabisaaaaaa!! Hakuna lelemama kule, ndiyo maana Simba alishindwa kunusa kabisaaaaaa mashindano hayo msimu huu.Huko caf championship nyie vyura mna point ngapi au mme enda kuli haibisha taifa.
Imebakiza mechi za ugenini zote, pulizapuliza sijui itakuwaje hapa na marefa sijui itawapata wapi.Kila mara humu jukwaani huwa nafurahi kuona kolo mpya ambae sijawahi kumfahamu kabla ila maneno yao daima ni kurwa na doto na ukijibizana nae atatukana hadi mizimu ya kwenu na hapo nasema hakika huyu ni kolo OG.
Wakati Yanga ikitinga fainali kombe la rede kwa single mothers, eti Simba bado inafurukuta huko iko nafasi ya tatu, hata kuingia robo fainali ni bahati majibu, ni kweli Yanga tumepotea sana klabu bingwa baada ya timu kulewa mafanikio ila klabu bingwa ndiko ambako Yanga tunastahili kucheza kwa uwezo wetu, kuteleza si kuanguka, tukifeli this time tutajipanga for another time next season , Simba ilipo sasa Shirikisho ndiko kwenye hadhi yao nako ni tia maji tia maji marefa hawamalizi game za home hadi Kibudenga afunge dakika za maporomoko ya upande wa pili maana dkk 90 zinaisha, zinafuata za majeruhi zinaisha, zinafuata za refa zinaisha, zinafuata za vibendera zinaisha, zinafuata za kamisaa zinaisha, zinafuata za mechi ijayo refa anaiba kidogo kusubiri goli la Kibu, simba haitoboi makundi, niko paleee
Hakuna ulinganifu hapo. Kama Azam angeshiriki CAF confederation nadhani asingetolewa mapema vile. Championship ni level ya dunia, bingwa wake anakwenda kucheza level ya dunia. MsijisahaulisheKila mmoja achungulie point alizo nazo kwenye mashindano yake
Hayo mafanikio mliyolewa klabu bingwa ni yap????Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sanaKila mara humu jukwaani huwa nafurahi kuona kolo mpya ambae sijawahi kumfahamu kabla ila maneno yao daima ni kurwa na doto na ukijibizana nae atatukana hadi mizimu ya kwenu na hapo nasema hakika huyu ni kolo OG.
Wakati Yanga ikitinga fainali kombe la rede kwa single mothers, eti Simba bado inafurukuta huko iko nafasi ya tatu, hata kuingia robo fainali ni bahati majibu, ni kweli Yanga tumepotea sana klabu bingwa baada ya timu kulewa mafanikio ila klabu bingwa ndiko ambako Yanga tunastahili kucheza kwa uwezo wetu, kuteleza si kuanguka, tukifeli this time tutajipanga for another time next season , Simba ilipo sasa Shirikisho ndiko kwenye hadhi yao nako ni tia maji tia maji marefa hawamalizi game za home hadi Kibudenga afunge dakika za maporomoko ya upande wa pili maana dkk 90 zinaisha, zinafuata za majeruhi zinaisha, zinafuata za refa zinaisha, zinafuata za vibendera zinaisha, zinafuata za kamisaa zinaisha, zinafuata za mechi ijayo refa anaiba kidogo kusubiri goli la Kibu, simba haitoboi makundi, niko paleee
Ubingwa mara 3, kucheza finali CAF confederation, kufika robo finali CAF championship, kutoka sare na mamelods, kuifunga kaiser 4-1, kupata goli dhidi ya timu ya ujerumani, kushinda ngao ya jamii, kuifunga Simba mara 4 mfululizo na kupata clean sheets 8 mfululizo. Hayo sio mafanikio?Hayo mafanikio mliyolewa klabu bingwa ni yap????Hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana
Hahaha! Hizi ndio akili za wanasimba wote popote walipo. Baada ya kufungwa mara 4 mfululizo na YANGA akili hazijawarudia.Wenzetu wapo club bingwa na wanaongoza kundi wapo nafasi ya kwanza kutoka mwisho na wala hawaringi.
Jumamosi Tp anakuja kusokomeza huo mwiko nyuma iliwaendelee kuongoza kundi .