Simba wa holywood na maisha ya gharama

Simba wa holywood na maisha ya gharama

add101

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
62
Reaction score
6
KWA WALE WAPENZI WA (animation) CARTOONS MTAKUA MNAMJUA HUYU SIMBA ANAYETUMIKA KAMA LOGO YA MGM STUDIO
(METRO GOLDWYN MAYER) HOLYWOOD ANATUMIKA PALE KATUNI YA TOM & JERRY INAPOANZA, SPIKE & TYKE, BARNEY BEAR, DROOPY , the captain and the kids ,etc. ni simba maarufu sana holywood na anatunzwa kwa gharama isiyopungua 300000usd per month
tangu kampuni ya MGM ilipoanza mwaka 1924, wametumia simba tofauti kama logo yao.

SLATS, 1924-1928.....HUYU NDO ALIKUWA SIMBA WA KWANZA KABISA KUTUMIKA
JACKIE, 1928-1956
GEORGE, 1956-1957
LEO, 1957-mpaka leo

Bongo movie, bongo lalaa...mpooooooooo

leo 1.jpg leo2.jpg leo3.jpg
 
Mkuu, MGM..... ni kampuni ya kutengeneza Movie, marekani, especially animation.......kama tom & jerry na kadhalika
huyu simba wanayemtumia kama nembo ya kampuni yao, ameishi tangu miaka ya 1950, mpaka sasa wanamtumia kama nembo yao, simba huyu analipwa pesa ndefu mnooo, karibia milion 400 za kitanzania kwa mwezi ,na ana matunzo ya gharama sana
nadhani umenipata.
 
mkuu unaweza fafanua zaidi

mkuu hapo anaelipwa nani, yaani anamilikiwa na nani ambaye anapokea hicho kitita.?
 
mkuu hapo anaelipwa nani, yaani anamilikiwa na nani ambaye anapokea hicho kitita.?
ANAMILIKIWA NA LOS ANGELES ZOO............that means zoo, ndo wanakula faida hapo.
 
Na sijajua ni simba wa mwaka gani aliyefanya hilo tukio....nasikia mpaka zoezi la uchukuaji loggo ya MGM ukamilike.....huyo simba aliua watu 4 akiwepo mtunza bustani pamoja na kujeruhi 9.
Mada kama hii iliwahi kuwekwa humu na ilielezewa vizuri sana.
As ante mdau kwa taarifa.
 
huyo simba wa kwanza Slats, baada ya kurekodiwa ile scene ya kwanza inayoanza kwenye ile logo ya mgm, kesho yake alimla mtu aliekuwa anamhudumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom