...Fidel unajua hata yule mzungu wenu golini nadhani amepoteza confidence kabisa sijui kwa kuwa amesiki Kondic anaondoka amepata mcheche!!! Kwa kweli nina uhakika mnyama atawafanya vibaya...Invisible unasemaje Mkulu!!!Kesho rekodi inatibuliwa na watoto wa Jangwani wapo full mzuka
Yanga 1 Simba 0
Simba 3 Yanga 1 na Mohd Banka ndio atakaye wafunga keshoGoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mafisadi kesho hawatoki, Wekundu 4 Yebo Yebo 0
The late Said Mwamba Kizota unforgetable heroe and star of all season, we are with u...Dar Young African Fans