Simba vs setif live hapa

angrrrrr...huyo nae kapeleka bangi uarabuni......
amempiga kipepsi mchezaji wa setif wanakaanza zogo .refa hakuona ila kibendera akamamrifu refa wote wamepewa kadi huku mwingine akipata ya njano. ilikuwa ndani ya sita. bado simba wanashambuliwa sana
 
simba wahakikishe hawa jamaa hawapati goli kipindi cha kwanza
 
dakika ya 33 milango bado migumu simba bado0 hawajafanya shambulizi la maana
 
dakika ya 35 setif wanaandika goli la kwanza
 
Tumefungwa 1, Simba wana difendi zaidi mana wako one man less
 
KIla la heri wazee wa International matches!
 
Aisee! Ka-ndovu akashuki poa kwa jinsi mnavyo ripoti huu mchezo...
 
jamani hiki tunachoandika hapa ndicho kipo ground. hali siyo nzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…