H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,475 Aug 13, 2017 #1 Habar wanajamvi..... Npo naangalia mechi yaana simba Leo wanapwaya..... Mipango yao haizai matunda....
Habar wanajamvi..... Npo naangalia mechi yaana simba Leo wanapwaya..... Mipango yao haizai matunda....
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,815 Reaction score 140,834 Aug 13, 2017 #2 Fb?
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,815 Reaction score 140,834 Aug 13, 2017 #3 Mtibwa wanajitahidi sio kama Yanga
H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,475 Aug 13, 2017 Thread starter #4 Simba tuna tatizo la umaliziaji.... Hutuna forward mzuri....
K kakonge4 Senior Member Joined Feb 28, 2017 Posts 142 Reaction score 157 Aug 13, 2017 #5 Nchi yenye watu milioni 50 inashindwa kupata fowadi nzuri kwenye klabu na timu ya taifa.Hii inasikitishs sana na ni kipimo sahihi kuwa uwekezaji wetu kwenye soka ni wa kubabaisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yenye watu milioni 50 inashindwa kupata fowadi nzuri kwenye klabu na timu ya taifa.Hii inasikitishs sana na ni kipimo sahihi kuwa uwekezaji wetu kwenye soka ni wa kubabaisha. Sent using Jamii Forums mobile app
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,230 Reaction score 15,643 Aug 13, 2017 #6 Weka kikosi cha leo mkuu cha Simba..