Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,348
Leo, Januari 28 2015
Mpira umekwisha!
Ligi Kuu ya Vodacom
Simba 1 - 2 Mbeya City
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Saa 1600 Jioni
Mpira umekwisha!
Ligi Kuu ya Vodacom
Simba 1 - 2 Mbeya City
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Saa 1600 Jioni
Tupo pamoja,simba 1 mbeya city 1,azam1,polisi 1,yanga 1,prison 1 ,mtibwa 1,nk..nk
Simba lazima amle mbeya city 2-0 zinawatosha ili warudi na ndege
Ngoja nisogee kibanda umiza
simba apakatwe leo!!! na wote tuseme AMINA!!!
simba apakatwe leo!!! Na wote tuseme amina!!!