harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,917
Wouzeeeerrr



Nipo Mtani wa nguvu. Nini kinaendelea kwani huko?Upo...
Kama kawaida umeme wamechukua. Waeza dhani utani ila umekatwa umeme Dada. 😜😜😜Ngapi ngapi dada
Nimecheka kwa sautiiii Dada akeeKama kawaida umeme wamechukua. Waeza dhani utani ila umekatwa umeme Dada.
Sanchez magoli ngapi ngapi eti huko?



nashukuru kwa kuja mtani,Kama kawaida umeme wamechukua. Waeza dhani utani ila umekatwa umeme Dada. 😜😜😜
Sanchez magoli ngapi ngapi eti huko?
😂😂😂 Kwani huko haukatwi eee? 🙈🙈🙈Nimecheka kwa sautiiii Dada akee![]()
Nimekuja nijue nini kinaendelea Mtani?nashukuru kwa kuja mtani,
huku mambo mtani ni kamwene tu nimefurahi kukuonaNimekuja nijue nini kinaendelea Mtani?
Pole sana mtani..Nipo Mtani wa nguvu. Nini kinaendelea kwani huko?
Huku unakatwa lakini kukiwa na mechi haukatwi kabisaKwani huko haukatwi eee?
![]()

Ngoja nijongee Mtani. 😀Pole sana mtani..
Tukutane hapa kwa mjumbe radio yake ipo hewani😂😂😂🤣
Basi huku ni kinyume chake Dada. 😂😂😂😂😂😂Huku unakatwa lakini kukiwa na mechi haukatwi kabisa![]()
Ila Dada mm nimeshakuzoea ujueBasi huku ni kinyume chake Dada.![]()
😂😂😂Ila Dada mm nimeshakuzoea ujue
Fyekelea mbaliBado mtibwa na kagera sugar.hizi timu huwa ni mwiba Kwa simba.hasa kagera sugar akiwa kwao huko kaitaba
Sent using Jamii Forums mobile app