Simba vs Azam leo jumanne sep.11, 2012

daa asante refa aneza akatupa ata penat3 leo
Yaani sijui inakuwaje,katika magoli ya Simba lazima liwepo 1 la penalt....na kama Azam hawajajipanga vizuri leo Jamaa wanaweza kupata penalt 3 kweli.
Anyway mi nimepita tu hapa,nitarudi baada ya dk 90 za mtanange huu.
 
mh uwezo baba, watu wanasubiri mpaka rose muhando afanye kazi yake
 
beki ya simba haijatulika kabisa na washambulia wamekosa mbinu ya kuwapita mabeki wa Azam FC...Tatizo na Pascoal beki wa simba ni mzito...
...hakuna uwezekano wa kum-fix Paulo Ngalema!! nahisi anaweza kusaidia kwa pande hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom