Simba: Unataka kutupiga picha? Hatukuruhusu!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956


Simba: Unataka kutupiga picha? Hatukuruhusu!
Katika hifadhi ya kitaifa ya Masai Mara, mpiga picha alitaka kupiga picha za simba jike na watoto wao kwa kutumia remote, lakini simba alichukua moja kwa moja kamera yake.
 
Hivi yuko salama mpiga picha na vifaa vyake
 
Hawa wapiga picha wanapenda sana kucheza na hatari.
Yeye hapo simba alimuona kama ni mdoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…