Mimi naona tuondoe timu nzima kidogo Inonga. Pia na Babra atupishe kidogo, tumrudishe Senzo wetu. Ni hayo tu.Kwenye list yako umesahau kumuweka Muzamir Yassin huyu kakangu mpira umekwisha kabisa.
Hao wengine utalipia pesa ya kuvunja mikataba yao na hao wapya utalipia gharams zao?Nakuunga mkono, Ila hapo kwenye wachezaji wakuachwa tunapishana kidogo- hasa ma- pro- wachezaji wapo tatizo nadhani bajeti ndogo ya usajili- Kama lengo ni kufanya vizuri kimataifa- wachezaji mapro wakubaki ni wawili tu- Enock Inonga- na Clotus Chama.
Duh!Halafu hizi mashine ziongezwe kwenye kikosi msimu ujao, ili kuongeza idadi ya magoli pale mbele! David Molinga "Falcao" , Super Julio (Namungo) na Ditram Nchimbi! (Mchezaji huru)
Mugalu abaki tafadhali, hajapata kocha wa kumtumia vizuri. Amekomaa ki mashindano. Atafutiwe mshambulia kabambe mbadala wa Kagere.Katika Miaka Minne ya Simba Imefanya makubwa kwa hiyo hata kama tunawaondoa wachezaji tuwaondoe kwa heshima.
Wamefanya makubwa lakini pia viongozi wa Simba anzisheni mambo ya kusajili wanachama online kama CCM wanavyofanya kwa kiingilio cha 10,000 na kila mwaka tulipe 20,000 na mapato na matumizi yatangazwe kila mwaka. Hii itatupa nguvu sana Simba. Bila kufanya hivi tutaendelea kuwa tegemezi. MO lazima tuwe naye lakini pia hii mhm kuwa na wanachama walio hai.
Wachezaj wafuatao tunaweza kuwapumzisha
Wengine wabaki maana kupata wachezaj wazuri Africa mtihani
- Mugalu
- Kagere
- Bocco
- Lwanga ni Injury
- Onyango Umri
- Mzamiru
Mimi naona tuondoe timu nzima kidogo Inonga. Pia na Babra atupishe kidogo, tumrudishe Senzo wetu. Ni hayo tu.
Wakupunguza ni 10% tuuu. Tatizo sio wachezaji kaka, ni menejimenti ya wachezaji tuuu.Kolo nawashauri. Ondoeni wachezaji ila mbakize 50% au 60%. Mkiondoa 80% mtapata tabu sana. Itawachukua 5 seasons kupata kikosi. Hamjajifunza kwa yanga?