Kwahiyo unataka kuchukua wachezaji uliowaona wakicheza Tanzania wakina kabwili na wakina metacha mnata?[emoji276]mwili nyumba akili kisoda
Kumuachia Kakolonya kuandoka ulikuwa uamuzi mbovu, wangempa mkataba mzuri abaki kwa sababu pesa wanayo enda kuilipa kwa kumleta kipa foreigner itakuwa zaidi ya alicho omba Kakolanya. Maamuzi yamefanyika ya roho mbaya na kukomoana, typical roho za kitz.
Bosi wa DP World.Ndiyo tatizo la kumpa timu fukara, eti rais wa heshima. Hebu nipeni hiyo timu niweke pesa.
Tusije tukalaumianaMdogo wangu GENTAMYCINE, ambaye ni shabiki mwenzenu lia lia amemuomba mhindi bilioni 3 tu ili akamsajilie majembe ya uhakika! Mpaka muda huu naona mhindi katia ngumu. Bila shaka Try Again amemshika masikio.
Shauri zenu. Mkifanya tena usajili wa mihemko, makombe yote msimu ujao yanaenda tena Jangwani kwa mara ya tatu mfululizo. Mpeni mdogo wangu Popoma hizo bilioni 3 tu ili aibadilishe kabisa timu yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bosi wa DP World.
Umeshindaje ?
Simba ni kikundi cha wahuni tu, bajeti ya Yanga msimu ujao ni Billion 20 na haijapata hasara, lakini Mwamedi kauziwa Simba kwa maandishi kwa Billion 20 siyo cash na bado anawadanganya anapata hasara.Mdogo wangu GENTAMYCINE, ambaye ni shabiki mwenzenu lia lia amemuomba mhindi bilioni 3 tu ili akamsajilie majembe ya uhakika! Mpaka muda huu naona mhindi katia ngumu. Bila shaka Try Again amemshika masikio.
Shauri zenu. Mkifanya tena usajili wa mihemko, makombe yote msimu ujao yanaenda tena Jangwani kwa mara ya tatu mfululizo. Mpeni mdogo wangu Popoma hizo bilioni 3 tu ili aibadilishe kabisa timu yenu.
Mbona alianzisha mwenye uzi wa kumuomba Mhindi hizo hela!! 😃Tusije tukalaumiana
Aaahaaaa,GENTAMYCINE huu mwaka atalaumu watu wengi sanaMbona alianzisha mwenye uzi wa kumuomba Mhindi hizo hela!! 😃
Akinitukana, dunia nzima itamshangaa.
Hivi ni kwa nn mtu akiwa yanga anakosa akili? Yaan timu haina hasara wakati inadaiwa 4.8 bilioni, hivi Mauzo ya jezi kwa timu kubwa kama yanga ni m 300 kweli?Simba ni kikundi cha wahuni tu, bajeti ya Yanga msimu ujao ni Billion 20 na haijapata hasara, lakini Mwamedi kauziwa Simba kwa maandishi kwa Billion 20 siyo cash na bado anawadanganya anapata hasara.
Timu zetu roho mbaya, kuona mchezaji atafaidi. Ila wa kigeni atapewa.Kumuachia Kakolonya kuandoka ulikuwa uamuzi mbovu, wangempa mkataba mzuri abaki kwa sababu pesa wanayo enda kuilipa kwa kumleta kipa foreigner itakuwa zaidi ya alicho omba Kakolanya. Maamuzi yamefanyika ya roho mbaya na kukomoana, typical roho za kitz.