Simba Sc yamsajiri beki Joash Onyango-Ukuta wa Berlin

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,713
117612985_1679273255565016_965058356953903435_o.jpg

117610143_1679272965565045_8289698644193754261_o.jpg


Ni beki kisiki mwenye umri wa miaka 27 tokea Gor Mahia ya Kenya

Umeona tofauti ya protol za usajiri za Simba na Yanga. Heshimu wadhamini ndo wanaokuweka mjini
 
Mchezaji bora kwenye ligi ya Kenya na beki bora mwska 2018/2019 akimshinda mchezaji Kahata mmoja wa viungo hatari Simba.
Ni mchezaji mzuri hasa kwa mipira ya juu. Beki wa Harambee Stars kwenye AFCON. Muulizeni Samatta shughuli yake.
 
4G zinauma wewe. Mlisema hivyo hivyo kwa Kagere. Msimu wa pili anawaburuza kwa kuwa mfungaji bora .Endeleni kusajili vigoli mkidhani mpira ni singeli.
Kama kweli mnataka kushindana na TP Mazembe na Ahaly Hutu beki ni mzaha aiseee!
 
Back
Top Bottom