Simba kafungwa 17, Yanga kafungwa 18. Ila Simba wanahitaji kupata chuma kimoja kwa ajili ya upande wa kushoto na viwili kwa ajili ya sshemu ya beki wa kati.
Hata kwa akina Nelson Okwah, Sawadogo, Mohamed Outarra, Augustine Okrah, Victor Akpan, Mlete Mzungu, na wengineo wengi! Story zilikuwa ni hizi hizi. Ila mwisho wa siku mambo yakawa ni tofauti kabisa.