Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,038 Reaction score 134,304 Jul 7, 2023 #1 Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili. Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote mbili na kucheza namba 10. My Take Hapa Simba imeupiga mwingi. Karibu Simba SC mnyama Aubin Kramo.
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili. Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote mbili na kucheza namba 10. My Take Hapa Simba imeupiga mwingi. Karibu Simba SC mnyama Aubin Kramo.
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,961 Reaction score 24,187 Jul 7, 2023 #2 Hapa wamepiga chenga kali sana ya mwili. Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu.. Uto mwaka huu watahara damu.
Hapa wamepiga chenga kali sana ya mwili. Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu.. Uto mwaka huu watahara damu.
ngulukizi JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 637 Reaction score 1,780 Jul 7, 2023 #3 Kwa huyu dogo Simba wamepata mtu
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,836 Reaction score 6,114 Jul 7, 2023 #4 Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,255 Reaction score 123,669 Jul 7, 2023 #5 Stats zake zipoje?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,255 Reaction score 123,669 Jul 7, 2023 #6 Jamaa ana miaka 27 lakini bado ukimcheki sura inaonesha kama Mzinze under 20 wa Yanga
N Nkerebhuke JF-Expert Member Joined Nov 1, 2021 Posts 796 Reaction score 2,027 Jul 7, 2023 #7 Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Acha kunywa pombe mchana utajikojolea
Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Acha kunywa pombe mchana utajikojolea
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,051 Reaction score 8,298 Jul 7, 2023 #8 Safi sana huyu na onana bora huyu.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,038 Reaction score 134,304 Jul 7, 2023 Thread starter #9 Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Hapa umeandika kama Utopolo, sasa ongea kama mwana soka
Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Hapa umeandika kama Utopolo, sasa ongea kama mwana soka
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,980 Reaction score 102,780 Jul 7, 2023 #10 Banda aondolewe kikosini
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,346 Reaction score 6,841 Jul 7, 2023 #11 Zilikuwepo sema hazikupewa nguvu..nenda YouTube utaona. Dr Restart said: Hapa wamepiga chenga kali sana ya mwili. Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu.. Uto mwaka huu watahara damu. Click to expand...
Zilikuwepo sema hazikupewa nguvu..nenda YouTube utaona. Dr Restart said: Hapa wamepiga chenga kali sana ya mwili. Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu.. Uto mwaka huu watahara damu. Click to expand...
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,757 Reaction score 21,986 Jul 7, 2023 #12 Sincerely! Nawapongeza Simba sc huyo jamaa kama ataweza kuonesha uwezo wake ni mashine haswa. ,
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,757 Reaction score 21,986 Jul 7, 2023 #13 Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Ushabiki maadazi huu sasa!
Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Ushabiki maadazi huu sasa!
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,923 Reaction score 11,305 Jul 7, 2023 #14 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2680946 Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili... Click to expand... Hajacheza msimu mzima
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2680946 Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili... Click to expand... Hajacheza msimu mzima
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,038 Reaction score 134,304 Jul 7, 2023 Thread starter #15 FK21 said: Haja cheza msimu mzima Click to expand... Baada ya kuandika hayo, waambie watu wewe ni topolo
FK21 said: Haja cheza msimu mzima Click to expand... Baada ya kuandika hayo, waambie watu wewe ni topolo
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,757 Reaction score 21,986 Jul 7, 2023 #16 FK21 said: Haja cheza msimu mzima Click to expand... Fuatilia uone siyo kupayuka tu! Alikuwa tegemeo pale asec mimosas
FK21 said: Haja cheza msimu mzima Click to expand... Fuatilia uone siyo kupayuka tu! Alikuwa tegemeo pale asec mimosas
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,303 Jul 7, 2023 #17 Bado nasubiria usajili wa beki wa maana kwasababu ndilo tatizo kuu letu kwa msimu ulioisha
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,373 Reaction score 23,504 Jul 7, 2023 #18 Mbona kama Simba inasajiri wachezaji wa aina moja? Sidhani kama Simba ina tatizo la kiungo ushambuliaji Saido Chama Kibu Banda Phiri Sacko Onana Karmo
Mbona kama Simba inasajiri wachezaji wa aina moja? Sidhani kama Simba ina tatizo la kiungo ushambuliaji Saido Chama Kibu Banda Phiri Sacko Onana Karmo
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 9,770 Reaction score 20,464 Jul 7, 2023 #19 Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Hiyo Avator na tai HAIFANANI na aina ya MICHANGO yako Hapa Jamii Forum. Bora umuweke Madenge.
Brigedia Gen said: Magarasa yanazidi kukusanywa na mandunduka Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app Click to expand... Hiyo Avator na tai HAIFANANI na aina ya MICHANGO yako Hapa Jamii Forum. Bora umuweke Madenge.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,925 Reaction score 40,068 Jul 7, 2023 #20 Tunazisoma comment then baada mechi tano tutaurudia uzi huu.