Simba SC wakati tukijiandaa kuwafunga TP Mazembe Dar tujiandae pia kupunguza ‘ Kipigo Kitakatifu ‘ tutakachokipata Kwao Kinshasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,252
110,835
Imekuwa ni kawaida na desturi nchini Tanzania ambapo Watu wengi hupenda tu Kusikia maneno matamu matamu, mazuri nay a kutia moyo ila pale ambapo akijitokeza Mtu ambaye huwa ni Mkweli na siyo Mnafiki ( Kama GENTAMYCINE ) anaonekana hana maana au hafai wakati pengine huenda Yeye ndiyo akawa msaada mkubwa wa Kiushauri katika Jambo fulani.

Kwanza kwa mara nyingine tena niiongeze Klabu ya Simba kwa kuweza Kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuitoa Klabu ngumu na bora Afrika ya AS Vita hivi majuzi. Sifa ziende kwa Wachezaji, Benchi zima la Ufundi, Uongozi wa Simba SC, Mwekezaji wetu Mkuu na hasa hasa ziende kwa Mashabiki wa Simba SC ambao Siku zote ndiyo wamekuwa ‘ Chachu ‘ Kubwa ya Ushindi wa Simba SC hasa kwa mechi zetu za hapa Nyumbani.

Tayari sasa Simba SC tumeshajua tunacheza na nani katika hatua hii ya Robo Fainali ambaye ni TP Mazembe Klabu ambayo si ngeni Kwetu na ni miongoni mwa Vilabu bora na Tajiri kabisa Afrika na hata uwezo wake wa Kiuchezaji na aina yake ya Wachezaji ‘ Kiufundi ‘ huwezi Kuwafananisha na wa Klabu yetu ya Simba na huu ndiyo ukweli hata kama utaubishia au utaukataa.

Najua tayari wana Simba SC tumeshaanza kuwa na Kiburi kwakuwa si Siri kwamba hapa Uwanja wa Taifa ( Kwa Mkapa ) ni ‘ Machinjio ‘ kwa Klabu zinazokuja na hili halipingiki kwani hata hao TP Mazembe nina uhakika na Wao sasa Vichwa vinawauma kwani hata Ndugu zao AS Vita ambao wana Ubora unaokaribiana nao huku wakiwa pia ni Wapinzani Wao wakubwa wamepokea ‘ Kichapo ‘ hapa hapa Dar es Salaam Tanzania hivyo Salamu zimeshawafikia.

Ushauri wangu ni mdogo sana ambapo nawaomba Simba SC wakati sasa tukijipanga kuwapa ‘ Kipigo ‘ hawa TP Mazembe katika mechi yetu ya Kwanza Siku chache zijazo ( na najua litawezekana tu iwe mvua au jua ) GENTAMYCINE nawaomba mno Viongozi wa Simba SC wafanye kila waliwezalo waweze Kutuma Watu Congo DR mapema sana ili wakasome ‘ mazingira ‘ na waweze kutoa Taarifa ya Kiufundi hasa ya ndani na nje ya Uwanja ili Simba SC tusiende huko Kichwa Kichwa kisha tukashangaa tunafungwa Goli ambazo ukizigawa kila mchezaji aliyepangwa na aliye benchini anachukua lake Moja nap engine hata Kocha nae akawa na lake.

Nashauri atafutwe Mtaalam wa Kisaikolojia haraka sana ili aweze Kuwajenga Wachezaji wa Simba SC hasa kuanzia Mchezo wetu wa Dar es Salaam na hasa hasa afanye Kazi kubwa na ikiwezekana aongozane na Timu huko Lubumbashi kwani nilichogundua ni kwamba Mechi nyingi za Simba SC hasa za Ugenini ukiachilia mbali Kiufundi ila huwa inafungwa zaidi kwa tatizo la Kisaikolojia ambalo Wachezaji wetu wa Simba SC huwa wanakuwa nalo tofauti na wanapokuwa hapa Dar es Salaam.

GENTAMYCINE bado naamini kwamba kama Simba SC itajipanga vyema ‘ Kimkakati ‘ hapa Dar es Salaam itashinda vizuri tu mechi yake hiyo na TP Mazembe na kama pia Simba SC ikijipanga vyema na hasa Kuchukua tahadhari zote katika mechi yake ya marudiano huko Kinshasa basi Simba SC itaweza kuweka tena Rekodi nyingine barani Afrika. Inawezekana na kikubwa tujiamini, tushirikiane na tujipange vyema ndani na nje.

Mwisho kabisa nawaomba Wachezaji wa Simba SC wajue kwamba kama kuna mechi ambayo itaweza kuwafanya waonekane haraka na Vilabu mbalimbali na Tajiri nje ya Tanzania yetu hii basi ni hii ya Simba SC na TP Mazembe ambapo nimehakikishiwa kuwa itaangaliwa na Watu wengi na hasa Wakala wa Wachezaji sehemu mbalimbali. Wachezaji wacheze vyema, wajitoe kadri wawezavyo na waonyeshe Nidhamu yao yote ili tu waweze Kuisadia Simba SC Kushinda ila na Wao pia waweze ‘ Kutoboa ‘ na siyo tu Kuishia hapa hapa Dar es Salaam, Rwanda, Kenya, Uganda na Zambia au Ivory Coast au Burkina Faso.

GENTAMYCINE nawatakieni kila la kheri Simba SC na naamini mtazidi Kutupa raha Watanzania.

Nawasilisha.
 
Imekuwa ni kawaida na desturi nchini Tanzania ambapo Watu wengi hupenda tu Kusikia maneno matamu matamu, mazuri nay a kutia moyo ila pale ambapo akijitokeza Mtu ambaye huwa ni Mkweli na siyo Mnafiki ( Kama GENTAMYCINE ) anaonekana hana maana au hafai wakati pengine huenda Yeye ndiyo akawa msaada mkubwa wa Kiushauri katika Jambo fulani.

Kwanza kwa mara nyingine tena niiongeze Klabu ya Simba kwa kuweza Kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuitoa Klabu ngumu na bora Afrika ya AS Vita hivi majuzi. Sifa ziende kwa Wachezaji, Benchi zima la Ufundi, Uongozi wa Simba SC, Mwekezaji wetu Mkuu na hasa hasa ziende kwa Mashabiki wa Simba SC ambao Siku zote ndiyo wamekuwa ‘ Chachu ‘ Kubwa ya Ushindi wa Simba SC hasa kwa mechi zetu za hapa Nyumbani.

Tayari sasa Simba SC tumeshajua tunacheza na nani katika hatua hii ya Robo Fainali ambaye ni TP Mazembe Klabu ambayo si ngeni Kwetu na ni miongoni mwa Vilabu bora na Tajiri kabisa Afrika na hata uwezo wake wa Kiuchezaji na aina yake ya Wachezaji ‘ Kiufundi ‘ huwezi Kuwafananisha na wa Klabu yetu ya Simba na huu ndiyo ukweli hata kama utaubishia au utaukataa.

Najua tayari wana Simba SC tumeshaanza kuwa na Kiburi kwakuwa si Siri kwamba hapa Uwanja wa Taifa ( Kwa Mkapa ) ni ‘ Machinjio ‘ kwa Klabu zinazokuja na hili halipingiki kwani hata hao TP Mazembe nina uhakika na Wao sasa Vichwa vinawauma kwani hata Ndugu zao AS Vita ambao wana Ubora unaokaribiana nao huku wakiwa pia ni Wapinzani Wao wakubwa wamepokea ‘ Kichapo ‘ hapa hapa Dar es Salaam Tanzania hivyo Salamu zimeshawafikia.

Ushauri wangu ni mdogo sana ambapo nawaomba Simba SC wakati sasa tukijipanga kuwapa ‘ Kipigo ‘ hawa TP Mazembe katika mechi yetu ya Kwanza Siku chache zijazo ( na najua litawezekana tu iwe mvua au jua ) GENTAMYCINE nawaomba mno Viongozi wa Simba SC wafanye kila waliwezalo waweze Kutuma Watu Congo DR mapema sana ili wakasome ‘ mazingira ‘ na waweze kutoa Taarifa ya Kiufundi hasa ya ndani na nje ya Uwanja ili Simba SC tusiende huko Kichwa Kichwa kisha tukashangaa tunafungwa Goli ambazo ukizigawa kila mchezaji aliyepangwa na aliye benchini anachukua lake Moja nap engine hata Kocha nae akawa na lake.

Nashauri atafutwe Mtaalam wa Kisaikolojia haraka sana ili aweze Kuwajenga Wachezaji wa Simba SC hasa kuanzia Mchezo wetu wa Dar es Salaam na hasa hasa afanye Kazi kubwa na ikiwezekana aongozane na Timu huko Kinshasa kwani nilichogundua ni kwamba Mechi nyingi za Simba SC hasa za Ugenini ukiachilia mbali Kiufundi ila huwa inafungwa zaidi kwa tatizo la Kisaikolojia ambalo Wachezaji wetu wa Simba SC huwa wanakuwa nalo tofauti na wanapokuwa hapa Dar es Salaam.

Mkuu,Leo umeongea kwa heshima,tatizo lako sio ujumbe unaozungumza ila Mara nyingi unatumia lugha mbovu yenye kiburi kukera,ujivuni na kukatisha tamaa matokeo yake watu wanadili na wewe badala ya ujumbe wako.

Leo umeeleza udhaifu wa Simba ktk lugha yenye staha ambayo mlengwa yoyote anapata utayari wa kusikiliza na kujitafakari.Pendelea kuwasilisha mawazo yako katika hali hii,inaongeza thamani ya ujumbe wako.

Mara nyingi ufanyacho wewe inakuwa kama MTU akuletee Biriani safi ya Ijumaa lakini kaiweka Pot LA kunyea mtoto.Unadhani MTU atalifurahia biriani hilo bila makwazo??Leo umeleta Biriani safi ktk hotpot,tutalila vizuri.Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hukusoma kilicho andikwa! Ulitaka uwe wa kwanza ku comment!

Yaani Haji manara akisikia ata repost maana GENTAMYCINE katoa ushauri mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hukusoma nilichoandika ulitaka tu uwe wa kwanza kuni quote

GENTAMYCINE mwenyewe amesema watanzania ni watu tusiopenda kuambiwa ukweli na ndio ukweili ulivyo....

hapo haji s manara kama angeona bandiko hili na baadhi ya mashabiki wangeliponda na kumwambia genta akae mbali na timu yao pendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekuwa ni kawaida na desturi nchini Tanzania ambapo Watu wengi hupenda tu Kusikia maneno matamu matamu, mazuri nay a kutia moyo ila pale ambapo akijitokeza Mtu ambaye huwa ni Mkweli na siyo Mnafiki ( Kama GENTAMYCINE ) anaonekana hana maana au hafai wakati pengine huenda Yeye ndiyo akawa msaada mkubwa wa Kiushauri katika Jambo fulani.

Kwanza kwa mara nyingine tena niiongeze Klabu ya Simba kwa kuweza Kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuitoa Klabu ngumu na bora Afrika ya AS Vita hivi majuzi. Sifa ziende kwa Wachezaji, Benchi zima la Ufundi, Uongozi wa Simba SC, Mwekezaji wetu Mkuu na hasa hasa ziende kwa Mashabiki wa Simba SC ambao Siku zote ndiyo wamekuwa ‘ Chachu ‘ Kubwa ya Ushindi wa Simba SC hasa kwa mechi zetu za hapa Nyumbani.

Tayari sasa Simba SC tumeshajua tunacheza na nani katika hatua hii ya Robo Fainali ambaye ni TP Mazembe Klabu ambayo si ngeni Kwetu na ni miongoni mwa Vilabu bora na Tajiri kabisa Afrika na hata uwezo wake wa Kiuchezaji na aina yake ya Wachezaji ‘ Kiufundi ‘ huwezi Kuwafananisha na wa Klabu yetu ya Simba na huu ndiyo ukweli hata kama utaubishia au utaukataa.

Najua tayari wana Simba SC tumeshaanza kuwa na Kiburi kwakuwa si Siri kwamba hapa Uwanja wa Taifa ( Kwa Mkapa ) ni ‘ Machinjio ‘ kwa Klabu zinazokuja na hili halipingiki kwani hata hao TP Mazembe nina uhakika na Wao sasa Vichwa vinawauma kwani hata Ndugu zao AS Vita ambao wana Ubora unaokaribiana nao huku wakiwa pia ni Wapinzani Wao wakubwa wamepokea ‘ Kichapo ‘ hapa hapa Dar es Salaam Tanzania hivyo Salamu zimeshawafikia.

Ushauri wangu ni mdogo sana ambapo nawaomba Simba SC wakati sasa tukijipanga kuwapa ‘ Kipigo ‘ hawa TP Mazembe katika mechi yetu ya Kwanza Siku chache zijazo ( na najua litawezekana tu iwe mvua au jua ) GENTAMYCINE nawaomba mno Viongozi wa Simba SC wafanye kila waliwezalo waweze Kutuma Watu Congo DR mapema sana ili wakasome ‘ mazingira ‘ na waweze kutoa Taarifa ya Kiufundi hasa ya ndani na nje ya Uwanja ili Simba SC tusiende huko Kichwa Kichwa kisha tukashangaa tunafungwa Goli ambazo ukizigawa kila mchezaji aliyepangwa na aliye benchini anachukua lake Moja nap engine hata Kocha nae akawa na lake.

Nashauri atafutwe Mtaalam wa Kisaikolojia haraka sana ili aweze Kuwajenga Wachezaji wa Simba SC hasa kuanzia Mchezo wetu wa Dar es Salaam na hasa hasa afanye Kazi kubwa na ikiwezekana aongozane na Timu huko Kinshasa kwani nilichogundua ni kwamba Mechi nyingi za Simba SC hasa za Ugenini ukiachilia mbali Kiufundi ila huwa inafungwa zaidi kwa tatizo la Kisaikolojia ambalo Wachezaji wetu wa Simba SC huwa wanakuwa nalo tofauti na wanapokuwa hapa Dar es Salaam.

GENTAMYCINE bado naamini kwamba kama Simba SC itajipanga vyema ‘ Kimkakati ‘ hapa Dar es Salaam itashinda vizuri tu mechi yake hiyo na TP Mazembe na kama pia Simba SC ikijipanga vyema na hasa Kuchukua tahadhari zote katika mechi yake ya marudiano huko Kinshasa basi Simba SC itaweza kuweka tena Rekodi nyingine barani Afrika. Inawezekana na kikubwa tujiamini, tushirikiane na tujipange vyema ndani na nje.

Mwisho kabisa nawaomba Wachezaji wa Simba SC wajue kwamba kama kuna mechi ambayo itaweza kuwafanya waonekane haraka na Vilabu mbalimbali na Tajiri nje ya Tanzania yetu hii basi ni hii ya Simba SC na TP Mazembe ambapo nimehakikishiwa kuwa itaangaliwa na Watu wengi na hasa Wakala wa Wachezaji sehemu mbalimbali. Wachezaji wacheze vyema, wajitoe kadri wawezavyo na waonyeshe Nidhamu yao yote ili tu waweze Kuisadia Simba SC Kushinda ila na Wao pia waweze ‘ Kutoboa ‘ na siyo tu Kuishia hapa hapa Dar es Salaam, Rwanda, Kenya, Uganda na Zambia au Ivory Coast au Burkina Faso.

GENTAMYCINE nawatakieni kila la kheri Simba SC na naamini mtazidi Kutupa raha Watanzania.

Nawasilisha.

Leo umeongea kiume. umeeleza uhalisia na sio kukebehi na kutoa rojorojo zako za kila siku. sasa hivi tutajadili na kuudadavua uzi huu bila kupeleka mashambulizi kwako binafsi. Tunashukuru kwa ushauri mzuri.
 
Mkuu,Leo umeongea kwa heshima,tatizo lako sio ujumbe unaozungumza ila Mara nyingi unatumia lugha mbovu yenye kiburi kukera,ujivuni na kukatisha tamaa matokeo yake watu wanadili na wewe badala ya ujumbe wako.

Leo umeeleza udhaifu wa Simba ktk lugha yenye staha ambayo mlengwa yoyote anapata utayari wa kusikiliza na kujitafakari.Pendelea kuwasilisha mawazo yako katika hali hii,inaongeza thamani ya ujumbe wako.

Mara nyingi ufanyacho wewe inakuwa kama MTU akuletee Biriani safi ya Ijumaa lakini kaiweka Pot LA kunyea mtoto.Unadhani MTU atalifurahia biriani hilo bila makwazo??Leo umeleta Biriani safi ktk hotpot,tutalila vizuri.Asante

Sent using Jamii Forums mobile app

Nitajitahidi.
 
Simba icheze mechi moja baada ya nyingine. Mechi muhimu kwa sasa ni hii itakayopigwa Dar, ni lazima Simba ishinde tena ikiwezekana kwa clean sheet 3-0 au hata 2-0, ikishindikana kabisa 1-0.

Pamoja na uzoefu walionao TP Mazembe, lakini ijulikane kuwa Simba pia wana uzoefu wa kutosha na mechi za kimataifa. Wanajua kucheza mechi za mtoano na za ligi ndogo. Usitarajie tena Simba kufungwa magoli ya aibu tena maana approach hubadilika kulingana na hali ya changamoto. Kucheza mechi za mtoano ni tofauti na kucheza mechi za makundi- Simba wanalijua hili!

Tumeona Simba ikishinda 1-0 Dar dhidi ya Zamalek mwaka 2003, na kwenda kuitoa ugenini timu hii iliyokuwa bingwa mtetezi wa Afrika. Ilifanya hivyohivyo pia kwa Setif ya Algeria miaka michache iliyopita ikiipiga 2-0 na kusonga mbele kwa faida ya bao la ugenini.

Mwaka jana Simba ililazimishwa 2-2 na Al Masry na kisha kwenda kulazimisha 0-0 ugenini. Tumeona pia mwaka huu jinsi ilivyocheza na Nkana ugenini na ilivyocheza nyumbani. Hakuna lisilowezekana. Utafutwe ushindi kwanza nyumbani.
 
Back
Top Bottom