Katika mikoa kadhaa niliyotembea na kuhudhuria sehemu tofauti tofauti za kuangalia mpira.
Nimefanya ka research kuangalia timu yenye mashabiki wengi Kati ya Simba na Yanga.
Nilichokugundua kwenye mashabiki 10 mashabiki 7 mara nyingi huwa wa simba. Hata mtaani na kwenye vilinge hali ni hiyo hiyo.