Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,647
Kufuatilia Yanayojiri Kwenye Mechi Hiyo: Live Update: Simba Vs Mbeya City Uwanja wa Taifa VPL 4/3/2017
Leo nitakuwa live nikiwasafirisha kifikra matukio madogo madogo ya uwanjani tutakaposhuhudia Simba ikizidi kujikita kileleni.
Hii mvua ikinyeshaga Simba atakuwa na nafasi nzuri zaidi kushinda.
Tujumuike uwanjani kuisapot timu yetu.