Mkuu hakuna haja ya kuchukua maneno yako, Simba ilishawahi kuchukua ubingwa bila kufungwa hata mechi moja na hao uliowataja hawakuwepo iweje leo itoke draw na The Express uanze kusema bila Okwi na Mafisango (rip) haiwezi kufanya kitu, nikwambie Okwi ataondoka na marehemu Mafisango Mungu amrehemu hayupo lakini Simba itafanya vizuri, kumbuka mwaka jana tulishiriki Kagame bila ya Okwi lakini tulifika fainali kwa kutufunga goli lililotokana na Uzembe wa beki wenu mliye naye sasa, ukilinganisha kikosi cha mwaka jana na mwaka huu, mwaka huu ni bora zaidi.Unaambiwa pamoja na Express kucheza kichovu sana tofauti na juzi lkn bado Simba walishindwa kuchomoka na ushindi,hii ni dalili mbaya sana kwa team ambayo imekuwa ikifanya mazoezi kwa kipindi kisichopungua Mwezi sasa mara Gym mara ufukweni,bado ikapiga ziara ya mechi za kirafiki Kanda ya ziwa lkn still bado ikaonyesha kiwango kile cha jana,nilisema hapa na nitaendelea kusema Simba bila Okwi na Marehemu Mafisangu(RIP Jembe) mtaichukia sana,take my words Guys...
Mkuu hakuna haja ya kuchukua maneno yako, Simba ilishawahi kuchukua ubingwa bila kufungwa hata mechi moja na hao uliowataja hawakuwepo iweje leo itoke draw na The Express uanze kusema bila Okwi na Mafisango (rip) haiwezi kufanya kitu, nikwambie Okwi ataondoka na marehemu Mafisango Mungu amrehemu hayupo lakini Simba itafanya vizuri, kumbuka mwaka jana tulishiriki Kagame bila ya Okwi lakini tulifika fainali kwa kutufunga goli lililotokana na Uzembe wa beki wenu mliye naye sasa, ukilinganisha kikosi cha mwaka jana na mwaka huu, mwaka huu ni bora zaidi.
ngoja tuone urafiki cup
ngoja tuone urafiki cup
Mkuu Urafiki cup vipi?
Mwanzo mzuri, ngoja leo tukutane na wauza lambalamba, nasikia ndala walifungwa, watakuja na visingizio vya kwamba walipeleka timu B.mechi ya kwanza Simba imeshinda 2-1
Unaambiwa pamoja na Express kucheza kichovu sana tofauti na juzi lkn bado Simba walishindwa kuchomoka na ushindi,hii ni dalili mbaya sana kwa team ambayo imekuwa ikifanya mazoezi kwa kipindi kisichopungua Mwezi sasa mara Gym mara ufukweni,bado ikapiga ziara ya mechi za kirafiki Kanda ya ziwa lkn still bado ikaonyesha kiwango kile cha jana,nilisema hapa na nitaendelea kusema Simba bila Okwi na Marehemu Mafisangu(RIP Jembe) mtaichukia sana,take my words Guys...
Masuke, plz turushie updates za game na lambalamba.... wale nao atleast wanatoa upinzani wa kweli uwanjani (licha ya kuhonga bado huwa tunawaliza0 lakini kocha wao ni mzuri !!
Umesikia kocha wa express kasema nini ? Nyie mnajua sana kupiga domo ! Kilichowaogopesha kupeleka timu kamili Zenji ni nini, ukichukulia kuna mashindano mbele yanakuja na huu ni muda wa zoezi tosha ? Mnaogopa kukutana tena na kula kichapo bila hata huyo Okwi kuwepo.... !! Tukiachapa tena sasa na huyo fisadi Manji mtamfukuza tena...
Mtaalam wa express anasema ameona mengi ya kujifunza pale msimbazi, na anakwenda nyumbani kujaribu kuyaiga..! Sisi tunaendesha timu kisasa, hizi ni trials so matokeo tunayachukua na kujifunza na sio kulazimisha kushinda tuuu ! Cheki kipindi cha pili walipoingia yosso tupu ! Mbona nyie siku na express hamkuingiza hiyo timu B ??