Mkuu Yanga hawana timu ya kuifunga Simba goli tano, mkijitahidi sana itakuwa moja bila au draw na sana sana tutawachapa mbili moja; Timu yetu si mbaya kiasi hicho; toka ligi ianze magoli mengi ni mawili tu yale ya Mtibwa.
Kwa hiyo hadi dakika 90, display itasoma hivi: Simba 2-1 Yanga.