mkuu kiukweli bila unafiki sikuona mpira wa maana aliocheza Simba kwa jana,kisaikolojia tu walionekana kama hawana raha hata kabla ya mechi,kila mchezaji alikuwa anacheza kivyake tena bila kuonyesha juhudi,ni sawa pia Niyonzima naye alikuwa kama wachezaji wa Simba kwa jana