Simba SC tunasajiri makocha wa kuokota

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,645
Kwa miaka mitano mfululizo tumekuwa na tabia ya kocha akifanya kosa kidogo anatimuliwa(tunaiga tabia ya Chelsea). Uchebe alitolewa Club Bingwa akagukuzwa huku tukisahau msimu wa nyuma alitufikisha robo.

Kishingo sijui walishindana nini na uongozi but am sio ofa kubwa maana hela anayolipwa kule hata huku tungempa Gomes akafukuzwa tena kwa kosa sio lake(alikuwa jukwaani tukifungwa kwa uzembe wa wachezaji).

Matola ye yupo tu siku zote ! Iv inakuwaje boss awe na shida then msaidizi awe msafi miaka yote mitano? Achen porojo Matola na Rweymamu pia ni tatizo

Haya kocha wa viungo je alikosa nini? Vilaana vingine tunajitafutia wenyewe

Nb: Niulize iv why hatuajir makocha ambao wana cv za maana hata hapahapa Africa? Yaan always makocha wetu tunatangaza kazi wenye cv nzur wanaomba ila tunaenda kuokoteza huko ambao cv zao wanakuja kujengeza simba(Miaka mitano sasa hatujawah ajir kocha ambaye kwenye cv yake aliwah beba hata kombe la kuku)

Uongozi una shida mahala ujitathmini
 
Ukimuondoa Ibenge na Mosimane, hakuna kocha mwingine wa maana. Acha waendelee kuokoteza.
 
1643376597590.png
 
.... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!!
 
Back
Top Bottom