B Bithurasdinhournhim Senior Member Joined Mar 14, 2017 Posts 166 Reaction score 396 Nov 20, 2020 #61 usser said: Ww n mjinga kama Hao wenzio Unategemea Tim ya nyumban ipangiwe Jez za kuvaa na mgeni??? Click to expand... Wewe ni mjanja sasa? Wewe ni kilaza tena parata au koro kabisa! Rudi kasome nilichoandika umuonyeshe hata jirani yako akueleweshe, maana kimekuzidi uwezo! Ndio maana mkaitwa ma[emoji205][emoji205]
usser said: Ww n mjinga kama Hao wenzio Unategemea Tim ya nyumban ipangiwe Jez za kuvaa na mgeni??? Click to expand... Wewe ni mjanja sasa? Wewe ni kilaza tena parata au koro kabisa! Rudi kasome nilichoandika umuonyeshe hata jirani yako akueleweshe, maana kimekuzidi uwezo! Ndio maana mkaitwa ma[emoji205][emoji205]
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,469 Reaction score 15,275 Nov 20, 2020 #62 Hadrianus said: Wabunifu ni SIFURI KABISA Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi? Click to expand... Hao wana mechi mbili za kimataifa, kwa hii Plateau ya Nigeria hawakatizi, watarudi kupambana na Namungo FC Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hadrianus said: Wabunifu ni SIFURI KABISA Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi? Click to expand... Hao wana mechi mbili za kimataifa, kwa hii Plateau ya Nigeria hawakatizi, watarudi kupambana na Namungo FC Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,469 Reaction score 15,275 Nov 20, 2020 #63 msokela said: Watanzania wote bila kujali ukabila,uchama au kitimu tuungane tuisaport Simba sc ,naiona Simba sc inaenda kufika mbali sana Click to expand... Amka kushakucha Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
msokela said: Watanzania wote bila kujali ukabila,uchama au kitimu tuungane tuisaport Simba sc ,naiona Simba sc inaenda kufika mbali sana Click to expand... Amka kushakucha Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,469 Reaction score 15,275 Nov 20, 2020 #64 kibaravumba said: Hivi Simba ni nani huwa ana design hizi jezi? Mbona hazina mvuto? Mimi ni mwana Simba ila kwa huyu designer mnayemtumia amefeli sana! Click to expand... Labda atakuwa Barbara Gonzalez Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
kibaravumba said: Hivi Simba ni nani huwa ana design hizi jezi? Mbona hazina mvuto? Mimi ni mwana Simba ila kwa huyu designer mnayemtumia amefeli sana! Click to expand... Labda atakuwa Barbara Gonzalez Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ekuweme JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 3,596 Reaction score 4,065 Nov 20, 2020 #65 Hebu pata picha ya sura ya Morrison anapokuwa ana kata gogo chooni anavyokuwa kwa dakika moja na nusu........haya, tuendelee na mjadala
Hebu pata picha ya sura ya Morrison anapokuwa ana kata gogo chooni anavyokuwa kwa dakika moja na nusu........haya, tuendelee na mjadala