Simba SC ndio wameshaanza Ligi

Simba bado ni timu bora kuliko zote tz. Kelele zote hz ni kutokana na ubora wa timu ya simba. Ni wazi hata yanga mlishangilia droo na simba iweje mbao wasishangilie.
Bado naamini simba ndiyo bingwa.
Endelea kuamini hivyo maana ni haki yako ya kikatiba.

Nikukumbushe tu: siyo lazima kila kitu unachoamini ndivyo kilivyo! Hata Wapagani wanaamini miungu yao ya mawe, miti, wanyama n.k wakati Mungu ni mmoja tu aliyeumba mbingu na dunia na vitu vyote vilivyomo (Kutoka 20:11).
 
Kwa wapenda Kabumbu wanaelewa Matokeo uwanjani ni ya aina 3

Unaweza kushinda...

Unaweza kutoka Sare...

Unaweza kufungwa....

Bado ni mapema mno kuanza kutabiri nani atakuwa Bingwa au kushuka Darajana au kubaki Kwenye Ligi..

Tuzipe timu nafasi Ligi bado sana .

Kutoka Sare na Mbao isiwe kipimo cha kuwabeza Simba...
 
Leo sijalipa nauli kwenye vyombo vyote vya usafiri nilivyopanda,kuanzia Mwendokasi mpaka Bajaji. Nikiombwa nauli nilikuwa natoa simu yangu na kuonyesha lile goli la Maganga kisha wananiambia usitoe nauli hiyo ndio nauli yako.
 
Back
Top Bottom