Simba SC na Ajibu vimtendee ihsaan Shabiki huyu.

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,019
1,671
Ni bwana mdogo ambae ameshindwa kuficha hisia zake kwa Ibrahim Ajibu ingawa kwa Hali duni aliyokuwa nayo ya kushindwa kununua jezi yenye jina la Ajibu lakini ame print kwa kutumia kalamu ya wino kuandika Tshirt yake iliyopauka jina la Ajibu ili kuonyesha mapenzi yake kwake. Simba na Ajibu inatakiwa vimfanyie kitu huyu dogo kama kumbukumbu kwake.
 
1489413844133.jpg
 
Back
Top Bottom