ANOLD MEDIA
Member
- Mar 31, 2021
- 8
- 8
.
Simba itacheza na Wadi degla ambayo inashiriki ligi kuu ya Misri kesho tarehe 26 na Mchezo mwingine itacheza na Fs Fassel kutoka Liberia na Fessel ni Bingwa wa Liberia Msimu uliopita
.
Tayari Simba imecheza Michezo mitatu ya kirafiki huko Misri wakishinda michezo miwili na kupoteza Mchezo mmoja hivyo kiujumla Simba watakuwa wamecheza Michezo mitano ya kirafiki.
.
Kikosi cha Simba kinataraji kurudi Tanzania Tarehe 28 tayari kwaajili ya Simba day pamoja na Maandalizi ya Mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani zao Yanga .