Simba SC hata kama mkimleta Lionel Messi kazi bure

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
3,016
2,445
Habari wanajf wanamichezo. Kwa uongozi huu wa Simba Sports Club hata wasajili vipi timu itaendelea kuboronga tu hadi pale uongozi uliopo utakapotolewa madarakani.

Tatizo la Simba sio wachezaji ni uongozi.

Over!
 
Ni maoni yako hayo! Japo uongozi ni tatizo kidogo,wachezaji walioko simba ni wa jkt ruvu na si wachezaji wa timu kubwa ya simba.
 
Hata kama watasajili kikosi bora cha dunia, chini ya TFF ya Malinzi mnazi na mdau wa Yanga tusitegemee chochote..

Tatizo la soka letu ni mfumo unaoendesha & kusimamia soka letu.
 
Hii ndio advantage anayoitumia Aveva kuendelea kuwafanyia madudu pale Simba kwakuwa anajua mapungufu ya mashabiki wa Simba kama wewe.
Hivi uko series kweli unataka Simba iwe bingwa kwa wachezaji wale akina Mgosi! Kiongela!!!!? Majwega!!!!! Isihaka?????
Utani huu
 
Hata kama watasajili kikosi bora cha dunia, chini ya TFF ya Malinzi mnazi na mdau wa Yanga tusitegemee chochote..

Tatizo la soka letu ni mfumo unaoendesha & kusimamia soka letu.
Hata kama watasajili kikosi bora cha dunia, chini ya TFF ya Malinzi mnazi na mdau wa Yanga tusitegemee chochote..

Tatizo la soka letu ni mfumo unaoendesha & kusimamia soka letu.
acheni mawazo mgando timu nzima inafunga magoli 43 wakati wachezaji watatu pekee WA yanga goli 45,kwa takwimu tuu ndogo hizi tunaona poor stricking,poor created chances zinazosababishwa na poor quality players,ufinyu WA kikosi.hapo malinzi anahusika VP?jipangeni Tu timu itarudi kwenye ubora wake
 
Back
Top Bottom