rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 17,293
- 24,178
Polisi walipisawazisha goli dhidi yenu walikuwa wangapi uwanjaniPrison walikuwa pungufu lakini bado simba hafurukuti loooh!, vijana wako imara toka sumbawanga
Polisi walipisawazisha goli dhidi yenu walikuwa wangapi uwanjaniPrison walikuwa pungufu lakini bado simba hafurukuti loooh!, vijana wako imara toka sumbawanga
Nyie na polisi ilikuwaje matokeo yake mkaishia kufukuza kochaMnapambana na timu iliyopungufu na bado mmebebwa
Usiwajibu vichefuchefu wao na polisi ilikuwaje, sisi tumenyimwa goli halaliHiyo offside ingepatikanaje bila kupambana?