Kwa kuwa simba
inaongozwa na mwanasiasa mambo yake yote katika club ya simba
anayaendesha kisiasa,hatoi ushirikiano na viongozi wenzake,kauli zake ni
za kukurupuka,itakuwa vema kama atafanikiwa kutofautisha shughuli za
bunge ambazo zinaendeshwa kisiasa na shughuli za mpira ambazo
zinaendeshwa kivitendo zaidi,kwa hiyo Rage uwe makini vinginevyo
utatuangushia club yetu.