kama mwanachama ame turn hostile na kununuliwa na adui yako unafanyaje?....Mfano usikie mwanao wa kumzaa anamtaftia mabwana mama yake...si unachinja wote..wale mpira pesa walizoea pesa za bure kutoka klabuni sasa hivi ujinga huo haupo...VIVA RageHapo ndio kaonyesha udhaifu mkubwa kiongozi yeyote jasiri hawezi kukimbilia kufukuza wanachama bali ni kukaa nao na kuwaeleza kwanini timu haifanyi vizuri ni heri atuachie timu yetu arudi ccm
anajivuia kuuza wachezaji ambao hajawasajili na mpaka sasa ameshindwa kusajili wachezaji wa maana zaidi ya kuwarudisha ulimboka na victor costa
Ameshindwa kupeleka rambirambi ya mafisango inawezekana ndio chanzo cha Boban kufanya mgomoi baridi
Anajivunia mapato ya jengo kuongezeka lakini anasahau kauli yake ya kuwafikisha mahakamani viongozi waliopita
Jezi feki za simba zinauzwa mbele ya makao makuu ya simba hatusikii kauli yoyoyte
kachemsha usajili wa Yondani na Mbuyi Twite zaidi ya kuleta porojo
Kashindwa kujenga uwanja
kama mwanachama ame turn hostile na kununuliwa na adui yako unafanyaje?....Mfano usikie mwanao wa kumzaa anamtaftia mabwana mama yake...si unachinja wote..wale mpira pesa walizoea pesa za bure kutoka klabuni sasa hivi ujinga huo haupo...VIVA Rage
Hahahhahah,,,,mpira pesaaaaaa
watamvua nguo wazaramo wakorofi bhana
sijawahi kwenda uwanja wa taifa wala sitaenda kwa mpira huu wa kucheza mezani!
sijawahi kwenda uwanja wa taifa wala sitaenda kwa mpira huu wa kucheza mezani!
unataka tumtimue ili tufanane na yanga....Mmmhana jipya huyo kama kawa tumtimue ajuii kama kawa Simba naYanga ukichemsha timua timua tuuuuuuuu !!!