Simba Queens yaikung'uta Yanga SC 4-1

KOCHA WA SIMBA QUEEN: Mchezo ulikuwa mzuri, Yanga princess ni timu kubwa nilijua tu watakuja kutaka kulipiza kisasi, tumewaheshimu, tumewafunga.

KOCHA WA YANGA PRINCESS: Aaah tumefungwa kwa sababu hakuna uwiano, SIMBA kwenye benchi kuna mwanaume.
Coach wa yanga duh kajazia mbaya. Edina njoo ushuani huku hata nguo zitakupendeza hasa hilo figure lako.
 
Kama na timu ya wanamama wanatumia ile kauli-mbiu ya "...daima mbele,nyuma kuna mwiko"..watafungwa hadi wazeeke.
 
Back
Top Bottom