Simple kabisa. Mikia ni mdebwedo kwa Azam. Jiulize Kwani mlikuwa hamtaki kuchukua kombe la Azam fideration cup nyie mikia?. Azam wakawagonga huko mtwala. Huo ndio unyonge mkubwa. Ksbb wanakunyang'anya hata kile kidogo unachokihitaji kwa nguvu. Mambo ya history sijui miaka mitano nyuma,tupa kule. Muhimu wanakugonga kwenye Jambo muhimu unalolitamani