gugumaji Member Joined Oct 25, 2012 Posts 25 Reaction score 19 Jan 14, 2024 #1 Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
lonelywolf Member Joined Mar 9, 2022 Posts 10 Reaction score 55 Jan 14, 2024 #2 Ni hataree ngoja waje wazee
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Jan 14, 2024 #3 Aisee