Simba ndiyo baba lao hapana chezea mnyama

Simba ndiyo baba lao hapana chezea mnyama

photo mee

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
608
Reaction score
93
Leo Simba a.k.a. Wekundu wa msimbazi wamemwoshe yanga kuwa simba achezewi amemtafuna vitatu kwa moja
 
Sasa hapa watakuja wavimba macho kubisha
wakati ndiyo ukweli kama thread ilivyosimama
 
kwani OKWI hakucheza... jamaaanii.....!
dah...! huyu kocha wa simba atakuwa na kizizi2. hawa simba mbona kimipango na kimkakati tuliwashindaaa...!
 
Yanga wamepakatwa teh teh teh,mpira Yanga hakuna majina tu 3-1
 
Hongereni wachezaji pamoja na bench la ufundi la simba kwa ushindi mnono,simba oyeee ila rage tuachie timu yetu we nenda kwenye siasa mdanganyane vizuri
 
Yanga wanacheza mpira wa mdomoni tu, sio wa uwanjani. Wana wachezaji wenye majina makubwa tu!
 
cheza na mfalme wa pori!!!!? yanga alitaka kushika sharubu kilichompata
 
Back
Top Bottom