Simba na Yanga, kwanini sio Yanga na Simba?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Heshima kwenu wakuu,

Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko.

Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku Simba na Yanga. Ifike mahari iwe Yanga na Simba.

Sipendi hili neno Simba na Yanga.
 
Mkuu mimi ni simba damu lakini kwa faida yako nataka nikueleweshe kwanini sio yanga na SIMBA, ni SIMBA na yanga, mfano yanga na azam zikicheza michezo sawa wakilingana kila kitu magoli droo point lazima wa kwanza atawekwa azam, maana yake katika herufi A-Z lazima uangalie je inaanza S auY ndio inaanzwa kutajwa
 
Heshima kwenu wakuu,

Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko.

Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku Simba na Yanga. Ifike mahari iwe Yanga na Simba.

Sipendi hili neno Simba na Yanga.

Ukianza hata kwa ABC tu utakutana S alafu Y simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Heshima kwenu wakuu,

Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko.

Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku Simba na Yanga. Ifike mahari iwe Yanga na Simba.

Sipendi hili neno Simba na Yanga.
Sasa wewe utalinganisha lapa na Mnyama King of the Jungle?
 
1475305806140.jpg
Nauliza tu jaman n nan aliye juu!!.,
 
Back
Top Bottom