T Trance M Senior Member Joined Jan 27, 2013 Posts 183 Reaction score 37 May 17, 2013 #1 Nipo hapa uwanja wa taifa nikikata tiketi kwa ajili ya mtanange wa kesho watu ni wengi na cha kushangaza hawaogopi mvua kabisa. Wapo kwenye foleni hadi kieleweke. Mvua ni kali mno. Viva Yanga viva! Tazama attachment Attachments 20130517_112140.jpg 200.3 KB · Views: 44 20130517_112136.jpg 179.9 KB · Views: 48 20130517_112131.jpg 193.9 KB · Views: 50
Nipo hapa uwanja wa taifa nikikata tiketi kwa ajili ya mtanange wa kesho watu ni wengi na cha kushangaza hawaogopi mvua kabisa. Wapo kwenye foleni hadi kieleweke. Mvua ni kali mno. Viva Yanga viva! Tazama attachment