Simba na yanga hazina bendera rasmi?

Kwetu-Mbagala

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
203
Reaction score
39
Habarini wanaJF
Kwa wale watakaokuwa wanafuatilia timu zetu za SIMBA naYANGA watagundua kuwa, timu zetu hizo HAZINA ‘’official flag’’(bendera rasmi)!Washabiki wa timu hizo wanachojua ni rangi tu za timu hizo na kujitengenezea benderakivyaovyao. Zingine ni za draft, michirizi, nyingine rangi mpauko na nyinginerangi mng’ao nk.
Hata katika makao makuu ya timu hizo, bendera zinazowekwazimekua zikibalishwa na cha kustaajabisha ni kuwa, bendera hizo wakati mwinginezimekua hazifanani! Hivi kwa nini hivi hazina bendera rasmi?
 
Bora hata simba, ila Yanga hata hawafahamu jina lao ni "Young au Yanga"
 

Yanga ndo wamezidi hata LOGO rasmi hawana, angalia hii picha sijui hata LOGO rasmi ya yanga ni ipi, hizi logo tofauit zipo katikaofficial kit kabisa ya yanga
 

Attachments

  • yanga Logo.jpg
    80.2 KB · Views: 319
Yanga ndo wamezidi hata LOGO rasmi hawana, angalia hii picha sijui hata LOGO rasmi ya yanga ni ipi, hizi logo tofauit zipo katikaofficial kit kabisa ya yanga

Kama Sungura hana mkia hata digidigi naye hana! Logo za Simba pia ziko kibao, natumia mchina ningeshuka nazo. Kwa habari zaidi kwenye T-Shirts za Simba zinazouzwa madukani nembo ina kichwa cha Simba wakati kwenye bendera ndogo kuna simba mzima mkondefu. Kuchekana kuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…