Kuna wwakati jezi za simba zilikuwa na logo ya adidas,swali ninalojiuliza mi kuwa je simba walidhaminiwa na adidasi ama ilikuwaje?
je hii jezi ya Taifa Stars yenye nembo ya adidas kifuani pia ni magumashi?Mkuu Nakapanya,
Simba haijawahi kuwa na mkataba hai wowote wa udhamini wa vifaa vya michezo. Mwaka 2007 waliwahi huingia mkataba na Adidas kupitia wakala wao aliyepo nchini Malawi, kwa sababu zisizofahamika mkataba ule haukuwahi kutekelezwa. Jezi wanazofaa sasa hivi ni ambazo wanapewa na wadhamini wa Ligi Kuu, Vodacom na zingine ambazo huwa wanapewa na wadhamini wao magumashi, Kampuni ya Bia (TBL).
Iko siku kila mtu ataishangilia Simba.
Nalog off
je hii jezi ya Taifa Stars yenye nembo ya adidas kifuani pia ni magumashi?
Adidas hawajui kama kuna soka inachezwa Tanzania, wanachojua wao pande za bongo watu bado wanapiga ndege kwa manati tu.
je hii jezi ya Taifa Stars yenye nembo ya adidas kifuani pia ni magumashi?
Mkuu Jamal Malinzi,hapo juu Mphamvu ameeleza ''Starz walikuwa na mkataba wa mavazi na kampuni moja ya MArekani, ilikuwa inaitwa +One na mkataba huo ulikuwa wa miaka minane. Haijulikani mkataba ule uliishia wapi ghafla tukaona wanavaa jezi za UhlSports kwa hisani ya Kassim Dewji ambae nasikia ndio anawadhulumu vilabu vikubwa vya KAriakoo kwa kuuza jezi za magumashi kwao.Viol na Mphamvu jezi zinazovaliwa na Taifa stars zimebandikwa nembo halali ya adidas kwa mujibu wa mkataba kati ya TFF ,adidas na CAF.Anayebishia au kubeza ukweli huu bila shaka ana lake jambo!
by the way Mphamvu kwa nini unabeza mkataba wa Simba sc na TBL mkataba wenye thamani ya nusu bilioni kwa mwaka? Inasaidia nini kuwabeza wafadhali ambao wana support mpira nchini mwetu? TFF tunalilia waongezeke ninyi mnawabeza,that is a disfavour and a disservice to Tanzania football.
Viol na Mphamvu jezi zinazovaliwa na Taifa Stars zimebandikwa nembo halali ya Adidas kwa mujibu wa mkataba kati ya TFF, Adidas na CAF. Anayebishia au kubeza ukweli huu bila shaka ana lake jambo!
By the way Mphamvu kwa nini unabeza mkataba wa Simba SC na TBL mkataba wenye thamani ya nusu bilioni kwa mwaka? Inasaidia nini kuwabeza wafadhili ambao wana support mpira nchini mwetu?
TFF tunalilia waongezeke ninyi mnawabeza, that is a disfavour and a disservice to Tanzanian football.
TFF yapata mkataba mnono wa Sh5.85bilioni toka Marekani - Tanzania SportsMkuu Jamal Malinzi,hapo juu Mphamvu ameeleza ''Starz walikuwa na mkataba wa mavazi na kampuni moja ya MArekani, ilikuwa inaitwa +One na mkataba huo ulikuwa wa miaka minane. Haijulikani mkataba ule uliishia wapi ghafla tukaona wanavaa jezi za UhlSports kwa hisani ya Kassim Dewji ambae nasikia ndio anawadhulumu vilabu vikubwa vya KAriakoo kwa kuuza jezi za magumashi kwao.
Je huo mkataba na kampuni ya +one ya marekani ni kweli,na huo mkataba ulishaisha?
Hii ndio jezi iliyokuwa ikivaliwa wakati wa mkataba husika...Mkuu Jamal Malinzi,hapo juu Mphamvu ameeleza ''Starz walikuwa na mkataba wa mavazi na kampuni moja ya MArekani, ilikuwa inaitwa +One na mkataba huo ulikuwa wa miaka minane. Haijulikani mkataba ule uliishia wapi ghafla tukaona wanavaa jezi za UhlSports kwa hisani ya Kassim Dewji ambae nasikia ndio anawadhulumu vilabu vikubwa vya KAriakoo kwa kuuza jezi za magumashi kwao.
Je huo mkataba na kampuni ya +one ya marekani ni kweli,na huo mkataba ulishaisha?
Nakuheshimu Salamander
Kuna wwakati jezi za simba zilikuwa na logo ya adidas,swali ninalojiuliza mi kuwa je simba walidhaminiwa na adidasi ama ilikuwaje?