Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,945
Aman iwe nanyi
Simba mzingatie haya
Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa
Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari
Mkumbuke sisi kama wana jangwani tutashangilia team itayoshinda leo endapo mkishinda nyie tutawashangilia ila endapo wakishinda wamakua na wanyungwe bas tutawashangilia hao pia
Sisi hatuna makuu ni watu safi sana
LONDON BOY