Hiyo SASA ni dharau, sidhani kma hii habari ni ya ukweli, Kama kweli ni hivyo WASIJE , kuliko kucheza na kikosi chao cha pili Bora tucheze na prisons kudadadek, hatutaki dharau....
Ni ujinga unaingia Facebook halafu unaingia kwenye Mazembe TV unachagua comment ya mchangiaji halafu unaifanya kama tamko la Mazembe ,ndo maana Lucy kawaida nyani
Ni ujinga unaingia Facebook halafu unaingia kwenye Mazembe TV unachagua comment ya mchangiaji halafu unaifanya kama tamko la Mazembe ,ndo maana Lucy kawaida nyani
Ukifungwa na Rivers utd,alafu na Simba nae akikupiga ngao ya jamii,sisogee mitaa ya Jangwani kutakua na vurugu kubwa sana.
Wanayanga minawajua,hawanaga breki.
Aliewaitaga nyani akukosea!! Minyani mwitu, mijitu mwitu,inabweka kama mbwa..yule mzungu aliona mbali sana..mijitu ya utopolo chura FC Ina shida sana,sijawahi kumuona mtu yuko utopolo akawa na akili timamu