Simba Mtu what happened here?

Niliwahi kusoma mahali, nadhani ni hapa hapa JF kwamba tukio hili lilitokea kule Rufiji karibu na mbuga ya Selous, raia huyu alikabiliwa na huyo simba na kuuawa, lakini simba huyo naye aliuawa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…