Kama hujui jambo lilivyo usilete pumba zako.Kigwangala ana hoja za msingi lakini km ubongo wako ni low kiasi hiki hukua na haja ya kuandika chochote, ungeshona bakuli lako.Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo hapo nasema "Maskini Akipata Matacco mbwata" sasa wana simba wamejisahau sana na kuona mambo ni mteremko tu kuwa Club inaenda wachezaji wanalipwa...wanakula vizuri jambo inalopeleka Kufanya vizuri sana ubaya wengi wanadhani Pesa inayotokana na mapato ya Club inaweza kufanya Hayaa.
Nasema kwa mpira wa Bongo pesa inayopatikana Haiweza hata Kulisha wachezaji wa Simba hata kulipa Robo ya mishahara yao YANGA wanatembeza Bakuli sio wanapenda lakini kuondoka kwa Manji kumekuwa pigo kubwa sana na ndo kitakachotokea Simba. Kuteuliwa CEO mpya kumeibua mambo kibao wengine wakidai mchakato haukuwa sahihi ndo nauliza Senzo mchakato wake ulikuwaje????
Mwisho wa siku Siasa muachieni Kigwangala na tambo zake za kutaka maelezo akati hata hela ya Pikipiki 25 hana anataka kumkopa MO shame shame. MO anafanya analoweza ili club ya Simba iendee na pia yeye ni mfanya biashara kudhani atatoa Bil 20 aweke kwenye Acc ya timu akitegemea itarudi kwa Uchumi wa soka la bongo nasema haitarudi hata Robo ya hela na hakuna mwendawazimu anaweza.
fanya huo utumbo.
Uko tayari siku ikifika akisema Simba SC ni mali yangu ,nawadai coz nilitumia hela zangu kuendesha klabu.Bora Mo aendelee kuwepo Simba hata asipoweka hizo billion 20, sisi tunahitaji Zaidi Simba ipige hatua na kufika mbali kimataifa!
Shida Ni kwamba zikiwekwa hizo b20 ndo mwanzo wa vurugu Simba viongozi watatafuta kila namna ya kula hizo pesa.
Tangu Mo aingie, sisi mabingwa ×3, ngao ya jamii× 3, na FA. Kimataifa tumeweza kufika robo fainali ya CAF CL.
Mpira Ni pesa, akijitoa hamtawaona tena akina Chama, Luis Miquissone n.k
Mo juu Zaidi!
Sasa akiweka Bil 20 zitarudi kwa kuzitapika nyie wanachama au?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hujui jambo lilivyo usilete pumba zako.Kigwangala ana hoja za msingi lakini km ubongo wako ni low kiasi hiki hukua na haja ya kuandika chochote, ungeshona bakuli lako.
Kwanza Mo ni mfanyabiashara,bepari,hakuna bepari anaewekeza mtaji wake bila matarajio ya faida tena faida kubwa.Mo hayuko Simba kwa hisani na wala Simba SC hatuhitaji fadhila kuendesha timu.
Tatu,km anaweza kutoa bilioni 3 kila mwaka anashindwa nini kutoa b20 anazodaiwa za hisa zake.Hizi bilion 3 anakuja kujilipaje au ndio janjajanja ya kutaka kusema badae nmetumia hela zangu nyingi so Simba SC hainidai.
Tatu,inawwzekan baadae Mo Aka sema niliikopesha Simba ,pale ambapo atatumia hela zake zikafikia kwa mfano zaidi ya bilioni 20 .Kwasababu mpaka sasa hivi haieleweki Mo anatoa hela za mishahara na gharama nyingine za kuendesha klabu kwa nakubaliana au mkataba gani.
Mo aweke hela zetu mezani ndio mambo mengine yaendelee kama kweli ni mwekezaji siriaz.
Kama mkataba unasema aweke b20 baada ya mchakato wa mabadiliko kukamilika basi me Naona hakuna tatizo.Sasa akiweka Bil 20 zitarudi kwa kuzitapika nyie wanachama au?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo Sheria zenu za ajabu ndiyo zinaleta njaa na mabakuli, dunia ya Sasa Mpira Ni ajira za watu hawapo kuwafanya ninyi mkenue meno huku familia zao zikitaabika,Na
Uko tayari siku ikifika akisema Simba SC ni mali yangu ,nawadai coz nilitumia hela zangu kuendesha klabu.
Tz hatuendelei hatusongi mbele kwa sababu ya akili hizi za BORA LIENDE.
Watz wengi si watu wa kufuata misingi,taratibu ,sheria.
Lazima Simba isonge mbele kwa misingi ya kisheria tuliyokubaliana.
Mkuu Naona bado unaishi enzi za kina chifu Mangungo wa Msovero.Hizo Sheria zenu za ajabu ndiyo zinaleta njaa na mabakuli, dunia ya Sasa Mpira Ni ajira za watu hawapo kuwafanya ninyi mkenue meno huku familia zao zikitaabika,
Soka la Sasa linataka pesa za uhakika na siyo kuleta Mambo ya ushirika ( umiliki wa umma), akitoka Mo akina Kagere hawatakuwepo Tena, jina la Simba litabaki ila itakuwa Simba asiye Kama alivyo Sasa!
Toeni ujuaji wa kijinga na visheria vya ajabu, Mimi nahitaji burudani na siyo kuimiliki Simba SC, hata angechuku hisa zote Mo ilimradi tu Simba Ina paa kimichezo kwangu si tatizo.
Na
Uko tayari siku ikifika akisema Simba SC ni mali yangu ,nawadai coz nilitumia hela zangu kuendesha klabu.
Tz hatuendelei hatusongi mbele kwa sababu ya akili hizi za BORA LIENDE.
Watz wengi si watu wa kufuata misingi,taratibu ,sheria.
Lazima Simba isonge mbele kwa misingi ya kisheria tuliyokubaliana.
Naona Avatar yenyewe inajieleza kuwa wewe Ni utopolo Fc, nyamazaMkuu Naona bado unaishi enzi za kina chifu Mangungo wa Msovero.
Watu kama nyie mngekuwepo wengi enzi za ukoloni kwa akili hizi Tanganyika isingepata Uhuru maana siyo kwa mawazo ya kitumwa uliyonayo haki inaweza kupatikana.
Basi malizaneni wenyewe huko msituni kwenu tusione simba yeyote huku uraiani analalamika tutawarudisha porini.Naona Avatar yenyewe inajieleza kuwa wewe Ni utopolo Fc, nyamaza
View attachment 1563581
Mkuu, km huna taarifa usiongee.Sasa kama hata hujui hizo bilioni 20 ni za nini ,kwanini usikae tu kimya.Sasa akiweka Bil 20 zitarudi kwa kuzitapika nyie wanachama au?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]