Kwa simba ilipofikia mo hawezi achia timu kizembe ivyoHabari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema:
- Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200...
Niliwai kusema hapa ya kuwa hii mikataba ambayo hivi vilabu vinaingia na wanatutangazia uhalisia wake utaonekana muda sio mrefu na kinachotokea simba ndio uhalisia wenyewe wamekuwa na mambo mengi ya ujanja ujanja kuwadanganya wanachama wao juu ya mikataba wanayoingia kwa kuongeza sifuri kwenye ile mikataba lakini kiuhalisia ni uongo,, auwezi kuwa na akili timamu eti timu ina mikataba kama mbet b.26, matangazo ya mhindi wa bombay yamejaa kwenye jezi, na bado timu inapokonywa bus kwa kushindwa kumalizia malipo, na bado wachezaji wanalia njaa bonus zao imekuwa dana dana, na bado usajili wa wachezaji wanaangaliwa free agent au wachezaji wa milion 20 ndio wasajiliwe,,Uwekezaji gani wa ajabu ajabu namna hiyo? Bado zile b.20 za mwekezaji azijulikani ziliwekwa benk gani na zinafanya nini, maana zingekuwepo tusingekuwa tunaona aya yanayoendelea kwenye klabu,,Timu kubwa imebaki inakodi costal kuwapeleka mazoezini haina tofauti na maji maji ya songea,,Timu kubwa inakuwa haina kocha wa makipa, haina kocha mkuu wanakwenda kumuazima mgunda aje kupiga deiwaka? Kwakweli kuna vituko vinapatikana Tanzania pekeeHabari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema:
- Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu imagine unamkataba na Azam, unamtangaza MO kwenye jezi za Simba, una mkataba na M-bet wa 26B. Mechi tu ya Simba vs Yanga mgao wake unatosha kununua bus lake kabisa bila kutumia mtu. Viongozi liangalieni hilo.
- Kama MO anataka kutoka Simba,. Viongozi wakijipanga Simba inaweza kujiendesha kupitia wawekezaji wengine kumuweka mtu mwekezaji kwenye jezi pale mbele ni hela ya maana. Simba ni kubwa, itabaki kuwa Simba hata kama MO anaondoka.
Leo wewe umekuwa Simba?Mwamedi mjanja mjanja sana. Hivi zile bilioni ishirini aliziweka kwenye account ya nani? Hivi Simba kwanini haiweki hadharani annual financial reports zake ili mashabiki tufurahi?
Vikajadiliwe bungeni, au siyo🤣🤣🤣Simba haijawahi kukosa bus la wachezaji, vitu vidogo kama hivi sio vya kujadili hapa.
@Bujibuji Simba NyamaumeLeo wewe umekuwa Simba?
Hii benki ina uhusiano gani na wale waliomteka na kisha kumuacha akiwa na kanga moko mwekezaji wa mchongo?Kuna 20B ipo Bank isiyojulikana
Mzee mjinga,unachukia wasiokujuaHii benki ina uhusiano gani na wale waliomteka na kisha kumuacha akiwa na kanga moko mwekezaji wa mchongo?
Habari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema:
- Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu imagine unamkataba na Azam, unamtangaza MO kwenye jezi za Simba, una mkataba na M-bet wa 26B. Mechi tu ya Simba vs Yanga mgao wake unatosha kununua bus lake kabisa bila kutumia mtu. Viongozi liangalieni hilo.
- Kama MO anataka kutoka Simba,. Viongozi wakijipanga Simba inaweza kujiendesha kupitia wawekezaji wengine kumuweka mtu mwekezaji kwenye jezi pale mbele ni hela ya maana. Simba ni kubwa, itabaki kuwa Simba hata kama MO anaondoka.
Mkuu kwaio wawekezaji hua wanaamua kuchoma pesa zao? Mf wamilik wa Psg/ City/ United etc[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ivi ushawahi kujiuliza kwanini timu nyingi duniani zna mwekezaji na zna mapato? ukweli ni kwamba biashara ya mpira haina return kiuhalisia watu wanafanya uwekezaji kwa sababu ya mapenzi ila sio kwamba wanapata faida, ukijumlisha mapato yote ya timu ila bado lazima kue na mfadhili, skulaumu kwa sababu unaongea kwa hisia ila mo akiondoka lazima simba itetereke vya kutosha, na lazima kue na sintofaham nyingi sana kwenye club
Hilo sio swala dogo kwa timu kubwaSimba haijawahi kukosa bus la wachezaji, vitu vidogo kama hivi sio vya kujadili hapa.
Nimchukie nani? Hapa ni utani umewakuta watani.Mzee mjinga,unachukia wasiokujua
Mkuu kwaio wawekezaji hua wanaamua kuchoma pesa zao? Mf wamilik wa Psg/ City/ United etc
Za mchongoTuna 26bn za mbet ujue
Mbona klabu kubwa za Ulaya wanaweka wazi mapato yao kwa mwaka wameingiza kiasi gani na hawafichi kama kuna asalaMwamedi mjanja mjanja sana. Hivi zile bilioni ishirini aliziweka kwenye account ya nani? Hivi Simba kwanini haiweki hadharani annual financial reports zake ili mashabiki tufurahi?