Simba kuweni makini na huyu mtangazaji asisogelee wachezaji

SASA HIVI ANACHOFANYA NI KU PROVE KWA HALI YOYOYTE ILE KWAMBA SIMBA NI VIBONDE...baada ya kuwapiga wa algeria 3 roho ilimuuma sana,juzi tumekula 5 bila nikaliona lilikuwepo uwanjani pale kinshasa
najua wachezaji wengi ni washkaji zake,PIGENI MARUFUKU WASISALIMIANE NAYE KABLA YA MECHI manaa lazima litaenda na misri tupigwe tena ili lionekane linajua,lina masifa ya kihaya
NI ADUI WA SIMBA KUWENI MAKINI NALO
Rage alipaswa kutambua kuwa kauli inaumba. Kama sio maneno ya Rage pengine usingekuwa mbumbumbu wa kiasi hiki.

Simba alivurumishwa PENTAGON sababu ya kiwango duni na njaa.
 
Dauda anacheza namba ngapi?? ni beki?? kiungo!?? Fowadi??..akili hizi tunazo wabongo tuu
 
Back
Top Bottom