Simba kuweni makini na huyu mtangazaji asisogelee wachezaji

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
SASA HIVI ANACHOFANYA NI KU PROVE KWA HALI YOYOYTE ILE KWAMBA SIMBA NI VIBONDE...baada ya kuwapiga wa algeria 3 roho ilimuuma sana,juzi tumekula 5 bila nikaliona lilikuwepo uwanjani pale kinshasa
najua wachezaji wengi ni washkaji zake,PIGENI MARUFUKU WASISALIMIANE NAYE KABLA YA MECHI manaa lazima litaenda na misri tupigwe tena ili lionekane linajua,lina masifa ya kihaya
NI ADUI WA SIMBA KUWENI MAKINI NALO
 
Mkuu, huyo ni Simba mwenzenu. Tatizo, hapindishi maneno!
 
SASA HIVI ANACHOFANYA NI KU PROVE KWA HALI YOYOYTE ILE KWAMBA SIMBA NI VIBONDE...baada ya kuwapiga wa algeria 3 roho ilimuuma sana,juzi tumekula 5 bila nikaliona lilikuwepo uwanjani pale kinshasa
najua wachezaji wengi ni washkaji zake,PIGENI MARUFUKU WASISALIMIANE NAYE KABLA YA MECHI manaa lazima litaenda na misri tupigwe tena ili lionekane linajua,lina masifa ya kihaya
NI ADUI WA SIMBA KUWENI MAKINI NALO

Mfichaficha maradhi, kilio kitamfichua.
 
Acha ushamba, mkiambiwa ukweli mna nuna mnabadilisha ID alafu mnatukana watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushabiki Oya Oya wewe...... Unataka kusema Simba tukifungwa Dauda Kachomesha??
Anacheza namba ngapi uwanjani!?... Ushabiki gani huu??
Japo wewe ni Simba, lakini nakuelewa sana
Watanzania hatupendi ukweli wa mambo , ndio maana wakati mwingine unawaza bora jiwe aendelee kunyoosha
 
Wabongo tunakua mwili tu kaka.. Sasa unajiuliza Dauda yuko benchi la ufundi la Simba??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom