Wahamie humo ili angalau uhuni kwenye michezo upungue. Simba hana jeuri wala uwezo huo, huyu ukimtoa nje ya Tanzania ni sawa na samaki umemtoa kwenye maji.
Hapo wameanza mind game, wanajua TFF lazima ichukue hatua dhidi ya genge linaliloingoza Simba, hivyo wanaanza kujionyesha kama wanahitajika sana, ukweli ni kuwa Simba ni over rated.